Ushauri: Anakataa kunipa penzi licha ya kuwa tunaishi pamoja, tutafika kweli?

aaah watu mna moyo mie nkipatag dem namhudumia akinonyima namie mahitaj sitoi na namchana kbsa faida yake kwang ni iyo awez sjui pak ndoa namie namwmbia ntatoa hduma kweny ndoa akichemka anaend namie fresh tu wanwk wpo weng san kuteswa ni kuamua mwnyew
 
Nasikitika kuona mwanaume anakua fala fala ivi huyo dem unang'ang'ania wa nini achana nae man.

Kama anakufanyia upumbavu saiv ukioa atazidisha simama kiume

mende wewe.
 
Inabidi uwe makini, huyo ni mwanaume mwenzio, kuna siku utaamka ujikute umeliwa kiboga
 
H
Hiyo ni haram sheikh!!
Neno "haram" na "sheikh" hayo ni maneno ya waarabu na watu wa pwani, ila hao hao waarabu wa pwani wanakwambia

"Santanali halala laukana tambala, qul duar ni dawah" Yani kila chenye duara ni dawa

Sasa wewe ogopa kula jicho la mdada, uishie kujisemea haramu haramu Marco Polo
 
Wakuu,

Naumia sana, nateseka sana nimepambana vya kutosha kutongoza hadi nimemshawishi mwenzangu tuishi pamoja lakini tatizo hanipi ushirikiano kwenye kunipa tunda.

Yaani wakuu hakuna kitu inauma kama umelala na manzi halafu unauhakika ana pichu tu ila kipengele ni kumgusa tu shughuli yake inakuwa vita hatari, wanaume nahisi mnanielewa.

Yaani nimechoka hatari na huyu mwanamke kwa sababu kuna siku nilijribu kutaka kutumia nguvu ndio akanimbia ataniaachia nimbake ila atakachonifanyia sitokuja kusahau maisha yangu yote. Yaani wakuu huyu manzi hana huruma hata kidogo kwenye mambo mengine tunaishi vizuri tu.

Hoja zake sasa;

1. Ananiambia kuwa mimi naamini papuchi ndio mapenzi kitu ambacho sio kweli kwa sabb nimejikaza wiki mbili hadi naona kazi haziendi.

2. Ananiambia akili yangu nimeiweka kuwaza ngono sana.

3. Anataka nimpe muda wa kutosha sana itafika wakati atanipa yeye mwenyewe na wakati toka tumeanza kuishi tunamaliza week saivi na kila siku nahesabu tu mabati, halafu yeye ndio kwanza mzungu wa nne.

4. Anasema yeye kaniona mimi mtu mzima naweza kuwa tofauti na vivulana vya miaka 20 kwa hiyo napaswa kuwa msikivu, yeye ana 25 mimi nina 32 hana mtoto.

5. Anasema kuna vitu ananiangalia kwanza ndio atanipa papuchi, yaani sijawahi kunyanyaswa na demu kisa papuchi kwa kiasi hichi, namjali, namlisha namvalisha wakuu nakosea wapi?

Je, huyu kuna sehemu tutafika? Ila ni demu anakibuli sana hilo nalijua sio mtu wa kuchekacheka hata kidogo; anapenda sana nifanye kazi, hapendi uchafu nikiingia ndani inbidi nitembee kama napaa.

Shida ni hapo kuvumilia kula papuchi, hana vizinga au wakuu nifanyaje?
Qmmk huwa mkileta story hzi nashangaa sana mnawezaje? Mnawatoa wapi? Inakuwaje? Mnakuwaga misukule au?
Mada faza be chance.
 
Mtoe out weekend mnaenda sehemu tulivu mnakaa kuongea mambo yenu ya msingi hasa mapenzi na pia jaribu kumwelewesha hisia zako kwake unafanya kama kumlainisha kumbembeleza kama unamtongoza umdanganye danganye lazima akubali hakuna mkate mgumu mbele ya chai, mwanamke ni mwepesi mno.
Atapoteza muda
 
Sasa huelewi nini na wakati umesema mwenyewe kwamba umefosi kuishi nae… Unataka hadi sisi tukuambie kuwa hupendwi😁, Haya basi hakupendi ila anataka asikupoteze kabla hajapata mwenye hisia nae.

Akishathibitisha kwamba hana option nyingine zaidi yako atakupa.
 
Wakuu,

Naumia sana, nateseka sana nimepambana vya kutosha kutongoza hadi nimemshawishi mwenzangu tuishi pamoja lakini tatizo hanipi ushirikiano kwenye kunipa tunda.

Yaani wakuu hakuna kitu inauma kama umelala na manzi halafu unauhakika ana pichu tu ila kipengele ni kumgusa tu shughuli yake inakuwa vita hatari, wanaume nahisi mnanielewa.

Yaani nimechoka hatari na huyu mwanamke kwa sababu kuna siku nilijribu kutaka kutumia nguvu ndio akanimbia ataniaachia nimbake ila atakachonifanyia sitokuja kusahau maisha yangu yote. Yaani wakuu huyu manzi hana huruma hata kidogo kwenye mambo mengine tunaishi vizuri tu.

Hoja zake sasa;

1. Ananiambia kuwa mimi naamini papuchi ndio mapenzi kitu ambacho sio kweli kwa sabb nimejikaza wiki mbili hadi naona kazi haziendi.

2. Ananiambia akili yangu nimeiweka kuwaza ngono sana.

3. Anataka nimpe muda wa kutosha sana itafika wakati atanipa yeye mwenyewe na wakati toka tumeanza kuishi tunamaliza week saivi na kila siku nahesabu tu mabati, halafu yeye ndio kwanza mzungu wa nne.

4. Anasema yeye kaniona mimi mtu mzima naweza kuwa tofauti na vivulana vya miaka 20 kwa hiyo napaswa kuwa msikivu, yeye ana 25 mimi nina 32 hana mtoto.

5. Anasema kuna vitu ananiangalia kwanza ndio atanipa papuchi, yaani sijawahi kunyanyaswa na demu kisa papuchi kwa kiasi hichi, namjali, namlisha namvalisha wakuu nakosea wapi?

Je, huyu kuna sehemu tutafika? Ila ni demu anakibuli sana hilo nalijua sio mtu wa kuchekacheka hata kidogo; anapenda sana nifanye kazi, hapendi uchafu nikiingia ndani inbidi nitembee kama napaa.

Shida ni hapo kuvumilia kula papuchi, hana vizinga au wakuu nifanyaje?
Acha ufala.. Hebu download apps hizi kwenye simu yako , Tinder, Badoo na Telegram. Huko utapata utelezi Kirahisi sana
 
Sasa wewe unaishi naye kama nani wako? Piga punyeto mbele yake, kama hajali timua, pisi mbona nyingi sana tena kali tu unahangaika na huyo hanithi wa kike?
 
Nimejifunza kuwa wanawake wengi walio intelligent sio wapenzi wa ngono, yaani kwao ngono ni subsidiary tu. Sasa mdada wa hivyo haachwi, coz she offers much more. Wewe ni mwanaume, you know what to do..sio lazima tuambiane kila kitu public!!
 
Kama ni kweli umemtongoza tu alafu ukamshawishi uishi nae hupajui kwao na una wiki nae tu jiandae siku siyo nyingi utaleta uzi wa kulalamika umeibiwa vitu vya ndani.

Sahivi anatafuta dereva wa kirikuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom