Ushauri: Anakataa kunipa penzi licha ya kuwa tunaishi pamoja, tutafika kweli?

aaah watu mna moyo mie nkipatag dem namhudumia akinonyima namie mahitaj sitoi na namchana kbsa faida yake kwang ni iyo awez sjui pak ndoa namie namwmbia ntatoa hduma kweny ndoa akichemka anaend namie fresh tu wanwk wpo weng san kuteswa ni kuamua mwnyew
 
Nasikitika kuona mwanaume anakua fala fala ivi huyo dem unang'ang'ania wa nini achana nae man.

Kama anakufanyia upumbavu saiv ukioa atazidisha simama kiume

mende wewe.
 
Inabidi uwe makini, huyo ni mwanaume mwenzio, kuna siku utaamka ujikute umeliwa kiboga
 
H
Hiyo ni haram sheikh!!
Neno "haram" na "sheikh" hayo ni maneno ya waarabu na watu wa pwani, ila hao hao waarabu wa pwani wanakwambia

"Santanali halala laukana tambala, qul duar ni dawah" Yani kila chenye duara ni dawa

Sasa wewe ogopa kula jicho la mdada, uishie kujisemea haramu haramu Marco Polo
 
Qmmk huwa mkileta story hzi nashangaa sana mnawezaje? Mnawatoa wapi? Inakuwaje? Mnakuwaga misukule au?
Mada faza be chance.
 
Atapoteza muda
 
Sasa huelewi nini na wakati umesema mwenyewe kwamba umefosi kuishi nae… Unataka hadi sisi tukuambie kuwa hupendwi😁, Haya basi hakupendi ila anataka asikupoteze kabla hajapata mwenye hisia nae.

Akishathibitisha kwamba hana option nyingine zaidi yako atakupa.
 
Acha ufala.. Hebu download apps hizi kwenye simu yako , Tinder, Badoo na Telegram. Huko utapata utelezi Kirahisi sana
 
Sasa wewe unaishi naye kama nani wako? Piga punyeto mbele yake, kama hajali timua, pisi mbona nyingi sana tena kali tu unahangaika na huyo hanithi wa kike?
 
Nimejifunza kuwa wanawake wengi walio intelligent sio wapenzi wa ngono, yaani kwao ngono ni subsidiary tu. Sasa mdada wa hivyo haachwi, coz she offers much more. Wewe ni mwanaume, you know what to do..sio lazima tuambiane kila kitu public!!
 
Kama ni kweli umemtongoza tu alafu ukamshawishi uishi nae hupajui kwao na una wiki nae tu jiandae siku siyo nyingi utaleta uzi wa kulalamika umeibiwa vitu vya ndani.

Sahivi anatafuta dereva wa kirikuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…