Ushauri: Anamtishia kumpeleka mahakamani kwa kuwa alimpa mimba akiwa mwanafunzi

bujaganoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
561
Reaction score
453
Habari wana jamvi,

Ninaomba nitoe story fupi kisha mnipe msaada wa kisheria.

Kuna mdogo wangu alimpa mimba mwanafunzi wa kidato cha tano mwaka 2016. Lakini mwanafunzi huyo alimaliza darasa la saba mwaka 2008 na form four 2012. Baada ya hapo hakufaulu form four.

Alienda kurudia tena kidato cha tatu 2014 akamaliza 2015 na penyewe hakufaulu sawa sawa, ndipo akaenda private form five 2015.

Mwaka 2015 mtihani wa mock wa hiyo shule alipata 0 na akashindwa kuendelea na masomo kulingana na taratibu za shule hiyo.

Sasa mdogo wangu akakutana naye mtaani mwaka 2016 ambapo alikuwa ajiunge form six. Akawa kampa mimba.

Sasa hivi wamekorofishana na msichana anamtishia kumpeleka mahakamani kwa kuwa alimtia mimba akiwa mwanafunzi. Kisheria imekaaje hapa?

Amepewa mimba akiwa na 22 years na sasa ana 24 yrs.

Tafadhali naombeni msaada wa kisheria.
 
Wazo sahih kwa wakat sahh na ambalo halijafumbuliwa kwa wengi kuhsu jinsi upatkanaji wa haki unavyofanywa kama likitokea katka jamii zetu
 
Kumbe alimpa mimba?
Mwambie amrudishie mimba yake
 
Wanampelekesha kwa kuwa wanamuona. Mwambie dogo apotee kitaa na kubadilisha no ya simu aone kama watampelekesha tena!
 
Kaka sheria sio ya kujalibu sometimes maana hapo dogo anaonekana altenda kosa siku nyingi Sana ila mlalamikaji alimstahi tu so dogo atabadil maisha ghafla msipokuwa makini maana si mtoto kashazaliwa ? Na miaka itapgwa ikionekana kweli basi ujue dogo hahepi hapo
 
Hakuna kesi hapo, kesi ya mwanafunzi huwa ni ubakaji endapo binti ana miaka chini ya 18,sasa huyo mtu mzima kabisa.
 
Kuna utofauti kati ya mtoto na mwanafunzi, kuwa na miaka zaidi ya 18 hakuwezi kukufutia haki yako kama mwanafunzi. Kwakifupi huyo ni mwanafunzi atafungwatu na sii vinginevyo hivyo aombe msamaha na alee mtoto kabla hajapata shida
 
Back
Top Bottom