Ushauri: Anamtishia kumpeleka mahakamani kwa kuwa alimpa mimba akiwa mwanafunzi

Ushauri: Anamtishia kumpeleka mahakamani kwa kuwa alimpa mimba akiwa mwanafunzi

Hakuna kesi ya kumpa mwanafunzi mimba, kuna kesi ya ubakaji na hii inakuja baada ya kumpa mwanafunzi mimba mwenye miaka chini ya miaka 18.
Kwahyo kama yupo fom 4 ana miaka 19 unaruhusiwa kumpa mimba?

Ongea kwa kufikiri ndugu pia kumbuka kuna wanafunzi wanamaliza la saba na miaka 15 hivyo 16 fom 1, 17 fom 2, 18 fom 3 na 19 fom 4 kwahyo huyu ukimpa mimba nihaki coz ni 18s?

Natamani ningekua huko ningenunua hii kesi nimfunge anye
 
Back
Top Bottom