Ushauri: Anataka nimuoe kwa lazima

Pole mkuu lakin inaonyesha huyo hafai hata kuwa jiran wewe mweleze uliyoyaona kwake pamoja na uongo wake halafu kila mtu afanye yake kwan ukiendelea nae ipo siku atakuletea bwanake mwengine atakwambia Kakake
Sawa mkuu
 
Akigoma kutoka fanya hivi, chukua pilipili kichaa kila siku usiku ichome kwenye mkaa iweke ndani atakohoa kama punda fanya hivyo kila siku asubuhi mchana na jioni akiuliza kwanini unafanya hivyo mwambie natambika.
 
Nahisi mwanamke atakuwa mmanyema na wewe ni wa pwani hujazoea mikwara,
Mwite mjumbe mwambie huyu mwanamke amekuvamia kwako na unataka aondoke,
Kumbuka akushika mimba huyo ndio itakuwa tiketi ya kukaa kabisa.
Nmekuelewa mkuu
 
hadi apo huyo sio mkee. maelezo yako kama ni ya ukwel bas achana nae ninja na uangalie ukurasa mwingine huo ushachafuka

kama utaamua kubeba matatzo kazi kwako
 
Mtelekeze!
Ongea na Mwenye Nyumba mpe hadithi nzima halafu mwambie inakubidi uondoke! Nenda kapange sehemu ya mbali asoijua!
Ila kuna somo la kujifunza hapo, Tubu halafu utulie hadi utakapooa!
Asante kwa ushauri mkuu
 
Pole sana mkuu huyo sio mtu mzuri na inaonekana yupo kimaslahi zaidi cha msingi achana nae. Kama anakutishia maisha na hataki kuondoka wewe funga nyumba yako ondoka, kakae hata kwa washkaji siku kadhaa, ataondoka mwenyewe
Asante kwa ushauri mkuu
 
Ok sawa
 
Akigoma kutoka fanya hivi, chukua pilipili kichaa kila siku usiku ichome kwenye mkaa iweke ndani atakohoa kama punda fanya hivyo kila siku asubuhi mchana na jioni akiuliza kwanini unafanya hivyo mwambie natambika.
Hahaa..!! Sawa
 
Kwa kuwa bado hajakuloga subiri kwanza akamilishe ndipo tukushauri! Yaani mnafanya uzinifu kwa kificho mapenzi yakishawapanda kichwani ndipo mnatoana kasoro...subiri!
 
Dah....kwani umekuja Dar lini? Nauliza tu[emoji87] [emoji13]
 
Awali ya yote nikupe pole kwa maswaibu, lakini pili hadi leo hujamwambia kwamba alikudanganya kwamba hana mtoto? Kwa sababu mimi nilifikiri kwamba hicho ndio kingekuwa kigezo cha kwanza cha kumuondolea sifa ya kuwa na wewe. Na kingine usitumie nguvu zako mwenyewe kumtafuta mwenzi wa maisha MWOMBE MUNGU KWA NGUVU ZAKO ZOTE AKUPE MTU WA KUFANANA NA WEWE. HATA HIVYO VITISHO VYA KUKULOGA VITASHINDWA KWA JINA LA YESU.
 
Hakufai huo ni ukoma kukuloga anaweza usidhani anatisha tu hekima inahitajika sana unapofanya maamuzi ukikosea unaweza umia jitahidi Fanya maandalizi ya chumba kingine mapema bila yeye kujua vilivyomo humo mwachie maana huwezi jua mikoba yake kaweka wapi utaibeba pamoja ikusumbue badili namba ya simu mtelekeze mwambie ninasafari ya wiki mwachie na posho ili asistuke mapema hama hapo atakuua wazazi wako wateseke wanakuangalia sana wewe
 
Akigoma kutoka fanya hivi, chukua pilipili kichaa kila siku usiku ichome kwenye mkaa iweke ndani atakohoa kama punda fanya hivyo kila siku asubuhi mchana na jioni akiuliza kwanini unafanya hivyo mwambie natambika.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umejipangaaaaa sio tena urudi na majonzi humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…