Van Pauser
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 417
- 420
- Thread starter
- #21
Sawa mkuuMkwara kuhusu kukuloga ila kwa uchunguzi wako Wa awali na ww umeisha kuwa mwanaume Fanya maamuzi ya kiume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuMkwara kuhusu kukuloga ila kwa uchunguzi wako Wa awali na ww umeisha kuwa mwanaume Fanya maamuzi ya kiume
Oooh..!!! Sawa kakaUsimuogope wewe mtimue. Na Mimi kuna manzi alikua ananilazimisha kumuoa kwa vitisho. Nikamtimua huu mwaka wa 5 hamna chochote.
Sawa mkuuPole mkuu lakin inaonyesha huyo hafai hata kuwa jiran wewe mweleze uliyoyaona kwake pamoja na uongo wake halafu kila mtu afanye yake kwan ukiendelea nae ipo siku atakuletea bwanake mwengine atakwambia Kakake
Sawa mkuuMrudie Mungu wako, huyo ni wa kumuondoa kwa maombi si kwa njia nyingine.
Mlivyosex naye na mengine yote mliyofanya pamoja yameshawaunganisha kiroho.
Nmekuelewa mkuuNahisi mwanamke atakuwa mmanyema na wewe ni wa pwani hujazoea mikwara,
Mwite mjumbe mwambie huyu mwanamke amekuvamia kwako na unataka aondoke,
Kumbuka akushika mimba huyo ndio itakuwa tiketi ya kukaa kabisa.
Asante kwa ushauri mkuuMtelekeze!
Ongea na Mwenye Nyumba mpe hadithi nzima halafu mwambie inakubidi uondoke! Nenda kapange sehemu ya mbali asoijua!
Ila kuna somo la kujifunza hapo, Tubu halafu utulie hadi utakapooa!
Asante kwa ushauri mkuuPole sana mkuu huyo sio mtu mzuri na inaonekana yupo kimaslahi zaidi cha msingi achana nae. Kama anakutishia maisha na hataki kuondoka wewe funga nyumba yako ondoka, kakae hata kwa washkaji siku kadhaa, ataondoka mwenyewe
Nmekuelewa mkuuNunua bangi ukavutie ndani akiwepo ataondoka mwenyewe... au nunua kitimoto .. Uchawi hauendi kwa mentali
Ok sawaKuoa ni hiari na kuridhiana, huyo anavyokulazimisha na kukutishia ni hatari kwa afya na maisha yako.
Unavyomchelewesha hapo kwako ndivyo anazidi kuwa mwenyeji.
Atakwambia nina mimba yako, maana najua wiki tatu zote kama ulitumia kinga ni siku moja tu.
Hahaa..!! SawaAkigoma kutoka fanya hivi, chukua pilipili kichaa kila siku usiku ichome kwenye mkaa iweke ndani atakohoa kama punda fanya hivyo kila siku asubuhi mchana na jioni akiuliza kwanini unafanya hivyo mwambie natambika.
Kwa kuwa bado hajakuloga subiri kwanza akamilishe ndipo tukushauri! Yaani mnafanya uzinifu kwa kificho mapenzi yakishawapanda kichwani ndipo mnatoana kasoro...subiri!Habari za asubuhi wapendwa,
Natumaini ni Jumatatu nyingine ambapo kila mmoja anajiandaa kwenda katika majukumu ya ujenzi wa taifa basi na Mungu awe pamoja nanyi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba nina mpenzi wangu ambaye nipo nae katika mahusiano si kwa kipind kirefu sana lakini tangu nimekaa nae kwa kipindi hiki kifupi nimegundua mambo mengi sana ambayo yananipa wakati mgumu sana halafu pia anataka nimuoe kwa lazima.
Kwanza; huyu mwanamke ni muongo ambapo amenidanganya vitu vingi ambavyo nimegundua kuwa sio kweli amenidanganya ana dada yake Zanzibar kumbe sio dada yake wa kuzaliwa nae kumbe yule dada alikuwa ni mfanyakazi wa ndani.
Pili; huyu mwanamke ni 'single mother' nimekuja kugundua kuwa ni 'single mother' baada ya kuambiwa na yule boss wake alipokuwa akifanya kazi Zanzibar halafu kwangu anapretend kuwa hana mtoto.
Tatu; huyu mwanamke ana majini.Iko hivi mimi sio mnywaji pombe ila jana wakati natoka kazini nilimkuta yupo na dada mmoja amenitambulisha kuwa ni dada yake lakini mimi sijaamini kwa sababu ameshakuwa ni mwongo sasa baada kuona vile nikaenda kwenye grosary moja jirani nikachukua kinywaji chenye kilevi basi nikarudi nyumbani ile nafika tuu hamwezi kuamini alipandisha majini.
Nne; amekaa kwangu almost week tatu sasa amekuja kwangu binafsi mimi ni msela, sjaoa na nilikuwa sina mpango wa kuoa sasa hataki kuondoka na ananitishia kuniloga, nimemwambia kuwa akafanye anachotaka.
Ushauri wako ni muhimu sana kwangu maana nipo katika wakati mgumu, tafadhalini sana sihitaji matusi wala kebehi.
Asanteni sana na Mungu awatangulie katika njia zenu.
Kweli mkuuhadi apo huyo sio mkee. maelezo yako kama ni ya ukwel bas achana nae ninja na uangalie ukurasa mwingine huo ushachafuka
kama utaamua kubeba matatzo kazi kwako
Awali ya yote nikupe pole kwa maswaibu, lakini pili hadi leo hujamwambia kwamba alikudanganya kwamba hana mtoto? Kwa sababu mimi nilifikiri kwamba hicho ndio kingekuwa kigezo cha kwanza cha kumuondolea sifa ya kuwa na wewe. Na kingine usitumie nguvu zako mwenyewe kumtafuta mwenzi wa maisha MWOMBE MUNGU KWA NGUVU ZAKO ZOTE AKUPE MTU WA KUFANANA NA WEWE. HATA HIVYO VITISHO VYA KUKULOGA VITASHINDWA KWA JINA LA YESU.Habari za asubuhi wapendwa,
Natumaini ni Jumatatu nyingine ambapo kila mmoja anajiandaa kwenda katika majukumu ya ujenzi wa taifa basi na Mungu awe pamoja nanyi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba nina mpenzi wangu ambaye nipo nae katika mahusiano si kwa kipind kirefu sana lakini tangu nimekaa nae kwa kipindi hiki kifupi nimegundua mambo mengi sana ambayo yananipa wakati mgumu sana halafu pia anataka nimuoe kwa lazima.
Kwanza; huyu mwanamke ni muongo ambapo amenidanganya vitu vingi ambavyo nimegundua kuwa sio kweli amenidanganya ana dada yake Zanzibar kumbe sio dada yake wa kuzaliwa nae kumbe yule dada alikuwa ni mfanyakazi wa ndani.
Pili; huyu mwanamke ni 'single mother' nimekuja kugundua kuwa ni 'single mother' baada ya kuambiwa na yule boss wake alipokuwa akifanya kazi Zanzibar halafu kwangu anapretend kuwa hana mtoto.
Tatu; huyu mwanamke ana majini.Iko hivi mimi sio mnywaji pombe ila jana wakati natoka kazini nilimkuta yupo na dada mmoja amenitambulisha kuwa ni dada yake lakini mimi sijaamini kwa sababu ameshakuwa ni mwongo sasa baada kuona vile nikaenda kwenye grosary moja jirani nikachukua kinywaji chenye kilevi basi nikarudi nyumbani ile nafika tuu hamwezi kuamini alipandisha majini.
Nne; amekaa kwangu almost week tatu sasa amekuja kwangu binafsi mimi ni msela, sjaoa na nilikuwa sina mpango wa kuoa sasa hataki kuondoka na ananitishia kuniloga, nimemwambia kuwa akafanye anachotaka.
Ushauri wako ni muhimu sana kwangu maana nipo katika wakati mgumu, tafadhalini sana sihitaji matusi wala kebehi.
Asanteni sana na Mungu awatangulie katika njia zenu.
Akigoma kutoka fanya hivi, chukua pilipili kichaa kila siku usiku ichome kwenye mkaa iweke ndani atakohoa kama punda fanya hivyo kila siku asubuhi mchana na jioni akiuliza kwanini unafanya hivyo mwambie natambika.