Miss Bunyeta
Member
- Feb 22, 2015
- 70
- 14
pole mkuu, wajuzi watakujuza
asante sana ndg kwa kuchukua muda wakoukachagua hii topic ukasoma
angalia hapo, unaweza pata mwanga kidogo
Orgasm and headaches
1. Afanye masterbation halafu aone what wilk happen.
2. Ameze panadol 2 masaa 2 kabla ya tendo then aangalie kama itaendelea kutokea.
3. Akapime wingi wa damu na pressure.
4. Uniletee majibu ya 1 to 3 yakiwa tayari.
au muulize kama bwanake anatumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume. Kuna wengine yanawapa hali hiyo coz madawa yanalazimisha mwili kufanya kazi isiyo kawaida, so hiyo ni mojawapo ya side effects