Miss Bunyeta
Member
- Feb 22, 2015
- 70
- 14
Nina mdogo wangu wa damu kabisaa ananifata ambaye ameolewa,jana kaja kwangu ananiomba nimshauri na tatizo lenyewe nii."
Akisex na mumewe wanafanya vizuri inapofikia mumewe ana ejaculate.Sasa yule bwana anaumwa kichwa cha ajabu mno kuanzia anapotaka kuejaculate mpaka dakika kumi baada ya sex".
Anasema hii hali haikuwepo imeanza kama miezi iliopita afanyeje, anaogopa asije mfia kifuani akaishia rumande na watoto bado wadogo sana.
Nawakilisha pliase ni story ya kweli naomba msaada.