Naomba ushauri wataalam. Nina bajeti ya Tsh 11.4 milioni nahitaji gari ya kunisaidia kwenye shughuli za mbalimbali. Kwa sasa nijihusisha zaidi na kazi ya udalali wa mifugo minada ya mkoa wa Manyara na Arusha
Ni gari nzuri ila bei ya kuagiza andaa milion 12.2 km utaagiza mwenyewe bila ya agent ,zingatia ambayo ina low mile , km ina high miles hakikisha imefanyiwa replacement ya lithium betry yake