themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
ongeza nyamaAchana nazo zitakusumbua hakuna gharama unayokwepa
hongeza nyama
Achana nazo zitakusumbua hakuna gharama unayokwepa
hAZIFAI HATA KIDOGO BORA UACHANE NAZO Kma mdau hapo juu amekuambia? chaji inakata mapema halafu Betri zake sio imara ikifa kupata nyingine ni changamoto sana aisee. Nunua za Petrol tuh ufurahie maishaKwa mlio wahi kuzitumia naombeni mnitoe tongotongo, maana nimeziona mara nyingi na nikavutiwa nazo
nachotaka kujua Brand gani ni imara,Na zinaweza kwenda umbali gani bila kuchajiwa, changamoto zake ni zipi pia
Asanteni sana wadauAchana nazo itakusumbua sana hasa betri na circuit yake ikifa ni balaa
Wnakutisha tu.linkall nzur na pia inategemea unakaa wap.? Mbona zina spea za kumwaga fika hapo kkoo kama unatokea fire jamaa wanauza mpaka za cc150 ka umeme kanakwend balaa. Na kama unaona za kuchaj sio nzur si uchkue hata honda today cc 50 mil1.2 kwa znz mpak lak 8.5 mpk 1.2 today ka mafuta saf kabisaAsanteni sana wadau
Tulishawahi discuss kidogo hii topic.Asanteni sana wadau
Mtaalam honda fit vip vipur vyake na service