Ushauri anayezifahamu Pikipiki za umeme

Ushauri anayezifahamu Pikipiki za umeme

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,033
Reaction score
3,720
Kwa mlio wahi kuzitumia naombeni mnitoe tongotongo, maana nimeziona mara nyingi na nikavutiwa nazo

nachotaka kujua Brand gani ni imara,Na zinaweza kwenda umbali gani bila kuchajiwa, changamoto zake ni zipi pia
 
Achana nazo zitakusumbua hakuna gharama unayokwepa
Kwa mlio wahi kuzitumia naombeni mnitoe tongotongo, maana nimeziona mara nyingi na nikavutiwa nazo

nachotaka kujua Brand gani ni imara,Na zinaweza kwenda umbali gani bila kuchajiwa, changamoto zake ni zipi pia
hAZIFAI HATA KIDOGO BORA UACHANE NAZO Kma mdau hapo juu amekuambia? chaji inakata mapema halafu Betri zake sio imara ikifa kupata nyingine ni changamoto sana aisee. Nunua za Petrol tuh ufurahie maisha
 
Asanteni sana wadau
Wnakutisha tu.linkall nzur na pia inategemea unakaa wap.? Mbona zina spea za kumwaga fika hapo kkoo kama unatokea fire jamaa wanauza mpaka za cc150 ka umeme kanakwend balaa. Na kama unaona za kuchaj sio nzur si uchkue hata honda today cc 50 mil1.2 kwa znz mpak lak 8.5 mpk 1.2 today ka mafuta saf kabisa
 
Back
Top Bottom