Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19.
Inavyoonekana Askofu Gwajima anatekeleza mawazo ya wafadhili wake wa huko Marekani katika kupotosha watanzania kuhusu chanjo hii.
Serikali isifumbie macho kauli ya Askofu Gwajima na ikiwezekana kulifuta kabisa kanisa lake. Hakuna kiongozi yeyote wa kidini katika nchi jirani zetu aliyejaribu kuhamasisha waumini wake wasichanjwe.