kwanini asingehoji tangu zamani misaada ya ARV inakuaje tunapewa bure? wazungu wana lengo gani?Jiulize gwajima afanye hivyo kwa faida gani?
Eti wafadhilli wanamtuma halafu?...
Mkuu huko Marekani kanisa la walokole wanaendesha kampeni dhidi ya chanjo ya Covid-19. Siwezi kuona cha ajabu kanisa la Gwajima ikifanya kampeni kwa niaba ya walokole wa MarekaniJiulize gwajima afanye hivyo kwa faida gani?
Eti wafadhilli wanamtuma halafu??..
Na Bagonza, Shoo, Kitima, Mwamakula na Msigwa waanzishe vyao bila kusahau PondaNi wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19. Inavyoonekana Askofu Gwajima anatekeleza mawazo ya wafadhili wake wa huko Marekani katika kupotosha watanzania kuhusu chanjo hii. Serikali isifumbie macho kauli ya Askofu Gwajima na ikiwezekana kulifuta kabisa kanisa lake. Hakuna kiongozi yeyote wa kidini katika nchi jirani zetu aliyejaribu kuhamasisha waumini wake wasichanjwe.
Hakuona haja ya kuhoji ÁRV, ila ameona umuhimu wa kuhoji chanjo ya corona, kwani taabu nini hapa.kwann asingehoji tangu zamani misaada ya ARV inakuaje tunapewa bure? wazungu wana lengo gani?
sasa hujagundua kuwa huyo ni mjinga?Hakuona haja ya kuhoji ÁRV, ila ameona umuhimu wa kuhoji chanjo ya corona, kwani taabu nini hapa.
kanisa la wasabato pia haliungi mkono chanjo hiyo wala si gwajima pekee, imesemwa chanjo ni hiari kwa nini wanaoikosoa muwaone wahalifu, wewe na wenzio inaowapendeza chanjeni kwa wingi na kwa kujirudiarudia kadri muwezavyo, hakuna atakae wauliza.Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19.
Inavyoonekana Askofu Gwajima anatekeleza mawazo ya wafadhili wake wa huko Marekani katika kupotosha watanzania kuhusu chanjo hii.
Serikali isifumbie macho kauli ya Askofu Gwajima na ikiwezekana kulifuta kabisa kanisa lake. Hakuna kiongozi yeyote wa kidini katika nchi jirani zetu aliyejaribu kuhamasisha waumini wake wasichanjwe.
Bogus kweli wewe...unaleta habari ya mawazo ya mwenyekiti kwenye science..?...hii dunia ina vilaza wa kutosha....Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19.
Inavyoonekana Askofu Gwajima anatekeleza mawazo ya wafadhili wake wa huko Marekani katika kupotosha watanzania kuhusu chanjo hii.
Serikali isifumbie macho kauli ya Askofu Gwajima na ikiwezekana kulifuta kabisa kanisa lake. Hakuna kiongozi yeyote wa kidini katika nchi jirani zetu aliyejaribu kuhamasisha waumini wake wasichanjwe.
Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19.

Bogus ni wewe unayesikiliza ushauri wa huyo mcheza PornoBogus kweli wewe...unaleta habari ya mawazo ya mwenyekiti kwenye science..?...hii dunia ina vilaza wa kutosha....
Covid-19 haina mambo ya mwenyekiti.....kama unadhani una ubavu wa kumjibu Gwajima kisayansi...mjibu otherwise kaa kwa kutulia.
Huyu ni muuaji. Akili kibaba, lakini anajifanya mjuaji wa kila kitu. Wajinga zaidi ni hao waumini wake. Mtu mwenye akili timamu kabisa huwezi kupoteza muda wako kumsikiliza huyo tapeli wa kufufua watu wasioonekana.Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19.
Inavyoonekana Askofu Gwajima anatekeleza mawazo ya wafadhili wake wa huko Marekani katika kupotosha watanzania kuhusu chanjo hii.
Serikali isifumbie macho kauli ya Askofu Gwajima na ikiwezekana kulifuta kabisa kanisa lake. Hakuna kiongozi yeyote wa kidini katika nchi jirani zetu aliyejaribu kuhamasisha waumini wake wasichanjwe.
Utakuwa mjinga wa kuhoji hayo wakati unapokea dawa za bure kutibu TB, Cancer, Ukimwi, chanjo za pepopunda, surua, kifaduro, n.k.Jiulize gwajima afanye hivyo kwa faida gani?
Eti wafadhilli wanamtuma halafu????
Weka halafu hata kumi then tafakri?
Gwajima kajitolea kusema ukweli!
Gwajima anakuuliza hiyo chanjo ya bure na misaada juu inalengo gani?
Hakuna haja ya kuanzisha Chama cha Siasa
Alipewa Ubunge tukijua ni kiongozi wa dini na ana haki ya kuwa na mawazo tofauti
Gwajima kwa hili kajitofautisha sana na wengi ambao kwao Msimamo wa Rais ndio msimamo wao, Rais akisema Chanjo hazifai tunaunga mkono akisema zinafaa tunaunga mkono, akisema tuvae barakoa tunaunga Mkono, akisema tuvue barakoa tunaunga Mkono
Kuna wengi wamechanja ili wasipoteze ajira zao lakin hawajaridhia kwa hiyari yao
Kama kuna eneo lenye wafanyakazi bright zaid Dunian kwa sasa ni Microsoft kwa bill gate kwenyewe lakin wamegomea chanjo hadi wametishiwa kufukuzwa kazi wasipichanja halafu wewe wa Kaliua Tabora sijui Ileje unashangaa watu wakiwa na wasiwasi na hizi sindano a.k.a chanjo
Chanjo hii inapingwa kila sehemu Duniani kwa hoja madhubuti na ndio sababu baada ya hoja kukosa majibu sasa hivi Marekani wanachanja watu kwa rushwa ya dola mia kila anaechanja
Watu wengi tu wapo kwny oxygen hoi bin taaban kwa corona na zaid ya 52% tayari wana full doze ya corona
Waliochanja watuambie chanjo ya corona ni for life au ni ya muda kama ile ya Yellow fever for 10 years unatakiwa ukachanje tena?
Hii ni chanjo dhidi ya corona au ni sindano ya kupunguza madhara ya corona kama ilivyo ARV kwny Ukimwi?
Unachanja lakin bado unaweza ukaambukiza, ukaambukizwa na bado unatakiwa kuchukua tahadhari zote kama asie chanja?
kanisa la wasabato pia haliungi mkono chanjo hiyo wala si gwajima pekee, imesemwa chanjo ni hiari kwa nini wanaoikosoa muwaone wahalifu, wewe na wenzio inaowapendeza chanjeni kwa wingi na kwa kujirudiarudia kadri muwezavyo, hakuna atakae wauliza.
Soma hiyo ripoti kutoka South Africa ujue faida ya chanjo hiiSouth African study shows high COVID protection from J&J shot
Johnson & Johnson's (JNJ.N) COVID-19 vaccine is working well in South Africa, offering protection against severe disease and death, the co-head of a trial in the country said on Friday.www.reuters.com
Haya pia ni mawazo ya mwenyekiti yalioyoaminiwa na wafuasi wake.Bogus kweli wewe...unaleta habari ya mawazo ya mwenyekiti kwenye science..?...hii dunia ina vilaza wa kutosha....
Covid-19 haina mambo ya mwenyekiti.....kama unadhani una ubavu wa kumjibu Gwajima kisayansi...mjibu otherwise kaa kwa kutulia.