Ushauri: ATCL badilini ratiba ya ndege ya Mtwara ili kutupatia unafuu wananchi wa Mtwara

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Ndugu ATCL ninaona mmeleta ndege mtwara siku ya jtatu, jtano, ijumaa..Hizi siku pia ndo siku the precisions. Je kwanini msiweke ndege siku ya jnne, Alhamisi, Ijumaa Jioni, Jmosi na Jpili? Kama mkifuata ushauri huu mtakuwa mmewapa nafasi bora wananchi wa Mtwara kusafiri siku zote kwa uhakaka wa ndege kuliko kugombania siku moja na precision na mnaacha siku zingine za wiki zikiwa wazi.
Nashauri
 
Ushauri mzuri,.tena hata watu wa mkoa jirani wa Lindi wanaotumia usafiri huu wa anga wasingekuwa na wasiwasi maana ingekuwa ni wiki nzima una uhakika wa kufanya safari,. ukizingatia kiwanja kidogo cha ndege Lindi "kikwetu" kimekufa kifo cha mende..
 
Ukitumia ATCL huwez panga ratiba yako kuwa utasafr ln na saa ngap muda wowote ratiba inabadilika walikuwa na ndege mwanza ya sa12 asubuh na saa nane na saa moja kwenda mwanza gafla u ashangaaa ndege ya saa nane haipo wakat kipind cha fastje pamoja na kususua aliweza kweka ratiba nzur saana ya ndege na ili aki hivyo muda wote bila kubadilika waweza panaga mwez unao nitaindoka dar na ndege ya saa sita na kwel ukondoka kama hakuna mushekeli lknhii ya atcl ni shida tupu wanalazmisha watu wote wao doma dar alfajili kitu ambacho kina kera saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…