Ndugu ATCL ninaona mmeleta ndege mtwara siku ya jtatu, jtano, ijumaa..Hizi siku pia ndo siku the precisions. Je kwanini msiweke ndege siku ya jnne, Alhamisi, Ijumaa Jioni, Jmosi na Jpili? Kama mkifuata ushauri huu mtakuwa mmewapa nafasi bora wananchi wa Mtwara kusafiri siku zote kwa uhakaka wa ndege kuliko kugombania siku moja na precision na mnaacha siku zingine za wiki zikiwa wazi.
Nashauri
Nashauri