Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
EPL inayoruka Dstv ni production ya BT/SkySports au ni world feed ya PL production??Sijui chochote kuhusu Hilo na sioni relevance yake kwa tunachojadiliana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EPL inayoruka Dstv ni production ya BT/SkySports au ni world feed ya PL production??Sijui chochote kuhusu Hilo na sioni relevance yake kwa tunachojadiliana
Dstv amelipa $222M kwa mwaka kununua Epl, mtu yoyote anaweza kumtoa Akibid hela nyingi zaidi, kwa hela zetu ni around bilioni 520Kama azam ikaingia UBIA na canal Sports KWA baadhi ya Chanel's za mpira wa ulaya itapata soko zaidi kuliko sasa.
Kwa soko la Tanzania DStv inawaumiza wapenzi wa soka KWA gharama kubwa Sana hivyo inapaswa ipewe ushindani Ili wananchi wapate huduma Bora.
Azam wanaweza pandisha vifurushi hadi kufika 40000/= KWA mwezi KWA wale wanaotaka ku access Chanel's za epl za canal Sports! Na hiyo ikasaidia wapenzi kulipa KWA urahisi kuliko Sasa hivi ambapo tunalipa 56000/=,91000/=,81000 na 28000/= KWA DStv nchini!
Meneja masoko wa Azam mnaweza mkafikiria hilo KWA msimu ujao au huu unaoendelea na mkapiga pesa coz wapenzi wa soka la bongo tupo sana nchini!
Nawatakia KILA la kheri katika utekelezaji wenu!
Naona ndo hivi pia..Hii taarifa sio sahihi mkuu.
1. Dstv anakaa meza Moja na Epl
![]()
Premier League renews partnership with Supersport
Deal agreed for a further three seasons, with Supersport securing media rights in Sub-Saharan Africa until 2025www.premierleague.com
Ushahidi huo hapo Dstv analipia mpunga mwingi sana EPL direct.
2. Canal Sport ni Chanel ya Ufaransa ambayo inamilikiwa na Vivendi, ni likampuni kubwa sana Asset zake tu zinafika Trilioni 100 so kusema hawawezi ku Afford hivyo visenti vya Epl ni utani mkuu.
Wewe unachanganya Right za kuonesha EPL Uingereza na za kuonesha Epl nje ya Uingereza.
Uingereza ndio Epl wanaonesha hao kina Sky na BT ukienda Marekani wana NBCSN, Africa kuna DSTV, Bein na Canal, Canada Dazn, Asia ya kusini Super Sport etc.
Wewe ndio mpumbavu kwa kumuona mwenzio MpumbavuNdio maana walimu mnaitwa wapumbavu
Sasa hivi Overseas Broadcaster wanaingiza Hela nyingi Epl kuliko wale wa ndani, Timu zinapiga mpunga zaidi kuuzia wa nje hakuna sababu kuwapa kina Sky na BT ukiranja wakati wao hawatoi hela nyingi.Naona ndo hivi pia..
Maana pia mechi za lunchtime jumamosi huko UK huwa hazionyeshwi na hao Sky na hao BT i.e hawana haki nazo..lakini huku Africa tunacheki games zote 360 za PL..
Upumbavu wangu ni upi hapo!!?Ndio maana walimu mnaitwa wapumbavu