Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Mimi ni mwanasimba niliyejipanga kumuondoa aveva simba , nifuatilie vizuri , siwezi kuficha ukweli kisa simba ni timu yangu , uliza leo pamoja na vitega uchumi vyote kwenye akaunti ya simba kuna tsh ngapi ?Hapo ↑↑↑ Ndipo Ulipoharibu Maudhui Nzima Ya Uzi Wako Coz Hukuuandika Katika Hali Ya Uneutral, Bali Umeuandika Kwa Kuvaa Uyanga!
Yaani Simba Ni Timu Ya Kuungaunga??
Sasa Subiri 1/10 ili ujifunze nini Maana Ya "No one Can Stop Reggae"
Una roho mbaya sana !Kuhusu singano umemuonea makocha hawampi nafasi hana no ya kudumu ila mm kama simba nafurai kinachompata nikikumbuka alivyoondoka kwa ugomvi
Acha niwe na roho mbaya tu si kwa alovyoondoka vile simbaUna roho mbaya sana !
Wachezaji wengine wana gundu tu , sasa huyu Ngassa kule S.Africa nako kuna shida gani ?Azam kuna tatizo
mimi nilipoona siku ile Mrisho Ngasa anaiponda Azam na akarudi Yanga licha ya kutozwa faini
ndo nikajua Azam kuna tatizo kuubwa
Tetesi - ushauri wangu unafanyiwa kazi .Sifahamu sheria za soka zinasemaje kuhusu hili , lakini ni wazi kwamba wachezaji wa Azam wanaidhulumu timu yao , hawastahili kufungwa kizembe namna kama wafanyavyo , ni wachezaji wanaopewa karibu kila kitu muhimu kuliko wachezaji wa timu karibu zote za ligi ya Vodacom .
Nini kinachowafanya wafungwe na timu za kuungaunga kama Ndanda na Simba ?
Kuna haja ya uongozi wa timu hii kutafuta watu wengine kabisa , watakaoitumikia timu hii kwa moyo na kwa uaminifu kuliko hawa akina John Boko & co.
Hivi kuna tofauti gani kati ya Azam na TP Mazembe tukilinganisha TREATMENT wanazopewa wachezaji ? Kwanini timu hii inaburuzwa na timu mbovu zisizokuwa hata na posho za uhakika ?
Si bure ! mwanzo nilijua tatizo ni makocha , lakini sasa nimetambua kwamba tatizo kubwa la timu hii ni wachezaji , ambao kuingia kwao Azam ni kama wamemaliza kila kitu , yuko wapi RAMADHANI SINGANO ? Kabweteka baada ya kufanikiwa !
Kivipi ?Tatizo ni wale makocha wahispania
Nachukua nafasi hii kupongeza uongozi wa Azam Fc kwa kuingia JF na kuchukua ushauri wangu , Mungu ibariki jf .Sifahamu sheria za soka zinasemaje kuhusu hili , lakini ni wazi kwamba wachezaji wa Azam wanaidhulumu timu yao , hawastahili kufungwa kizembe namna kama wafanyavyo , ni wachezaji wanaopewa karibu kila kitu muhimu kuliko wachezaji wa timu karibu zote za ligi ya Vodacom .
Nini kinachowafanya wafungwe na timu za kuungaunga kama Ndanda na Simba ?
Kuna haja ya uongozi wa timu hii kutafuta watu wengine kabisa , watakaoitumikia timu hii kwa moyo na kwa uaminifu kuliko hawa akina John Boko & co.
Hivi kuna tofauti gani kati ya Azam na TP Mazembe tukilinganisha TREATMENT wanazopewa wachezaji ? Kwanini timu hii inaburuzwa na timu mbovu zisizokuwa hata na posho za uhakika ?
Si bure ! mwanzo nilijua tatizo ni makocha , lakini sasa nimetambua kwamba tatizo kubwa la timu hii ni wachezaji , ambao kuingia kwao Azam ni kama wamemaliza kila kitu , yuko wapi RAMADHANI SINGANO ? Kabweteka baada ya kufanikiwa !
Ushauri umepokelewa , magarasa yote yanachukuliwa na timu yangu ya Simba .Iv kuna team gani hapa Bongo ina facilities za maana kama Azam. Imefika mpaka wamejengewa viwanja viwili vya mazoezi. Smooth Ground na rough ground, Hostels za wachezaji NK. Kama ni mashabiki huwa wanaruhusiwa kuingia bure Chamanzi pale. Nini tena kinahitajika hapo...
Nimesikia na Kipre Cheche anakuja huko simba.Ushauri umepokelewa , magarasa yote yanachukuliwa na timu yangu ya Simba .
Duh ! Hatimaye Simba yawa azam kuanzia kocha hadi wachezaji .Nimesikia na Kipre Cheche anakuja huko simba.
Ongeza sautii!Tuendelee au tusiendelee ?
miaka minne sasa lakini hadithi ni ile ileBakizeni maneno,msiponde kama Muro wakati mpira unadunda.Kama uwezo wa hao wachezaji umefikia kikomo,kocha ndiye mwenye maamzi.
Hayo magarasa yameipa Simba ubingwa nadhani azam wanajilaumu.kwa kuchukua ushauri wakoUshauri umepokelewa , magarasa yote yanachukuliwa na timu yangu ya Simba .
NakaziaSifahamu sheria za soka zinasemaje kuhusu hili , lakini ni wazi kwamba wachezaji wa Azam wanaidhulumu timu yao , hawastahili kufungwa kizembe namna kama wafanyavyo , ni wachezaji wanaopewa karibu kila kitu muhimu kuliko wachezaji wa timu karibu zote za ligi ya Vodacom .
Nini kinachowafanya wafungwe na timu za kuungaunga kama Ndanda na Simba ?
Kuna haja ya uongozi wa timu hii kutafuta watu wengine kabisa , watakaoitumikia timu hii kwa moyo na kwa uaminifu kuliko hawa akina John Boko & co.
Hivi kuna tofauti gani kati ya Azam na TP Mazembe tukilinganisha TREATMENT wanazopewa wachezaji ? Kwanini timu hii inaburuzwa na timu mbovu zisizokuwa hata na posho za uhakika ?
Si bure ! mwanzo nilijua tatizo ni makocha , lakini sasa nimetambua kwamba tatizo kubwa la timu hii ni wachezaji , ambao kuingia kwao Azam ni kama wamemaliza kila kitu , yuko wapi RAMADHANI SINGANO ? Kabweteka baada ya kufanikiwa !
Mkuu umefukua uzi wa zamani sana!Nakazia