Ushauri - Azam timueni wachezaji wote

Ushauri - Azam timueni wachezaji wote

Sifahamu sheria za soka zinasemaje kuhusu hili , lakini ni wazi kwamba wachezaji wa Azam wanaidhulumu timu yao , hawastahili kufungwa kizembe namna kama wafanyavyo , ni wachezaji wanaopewa karibu kila kitu muhimu kuliko wachezaji wa timu karibu zote za ligi ya Vodacom .

Nini kinachowafanya wafungwe na timu za kuungaunga kama Ndanda na Simba ?

Kuna haja ya uongozi wa timu hii kutafuta watu wengine kabisa , watakaoitumikia timu hii kwa moyo na kwa uaminifu kuliko hawa akina John Boko & co.

Hivi kuna tofauti gani kati ya Azam na TP Mazembe tukilinganisha TREATMENT wanazopewa wachezaji ? Kwanini timu hii inaburuzwa na timu mbovu zisizokuwa hata na posho za uhakika ?

Si bure ! mwanzo nilijua tatizo ni makocha , lakini sasa nimetambua kwamba tatizo kubwa la timu hii ni wachezaji , ambao kuingia kwao Azam ni kama wamemaliza kila kitu , yuko wapi RAMADHANI SINGANO ? Kabweteka baada ya kufanikiwa !

Uko sahihi mkuu
 
Man u kapigwa na Watford jthe other week 3-1 does t mean wachezaji wanaihujumu team?
Matokeo tu
 
Kwahiyo tusema Yanga hawana uwezo baada ya kuchapwa na timu ya wapiga debe? Ok! Simba sisi umesema ni uchwara.Hivi unawezaje kulinganisha TP Mazembe na Azam? Mazembe ni timu kubwa mno,ina facility zote.Bado Katumbi ana Migodi yenye kuingiza billions of money na kununua mchezaji yeyote amtakaye! Azam bado inatambaa,Azam itakua timu bora.Nyinyi Yanga mmeshindwa nini? Miaka zaidi ya Uhuru bado mnahangaika.Acheni kubeza ovyo namna hiyo.
 
Inawezekana azam isiifikie mazembe lakini haitakiwi kuwa mdebwedo kwa Ndanda bhana .
 
Kwahiyo tusema Yanga hawana uwezo baada ya kuchapwa na timu ya wapiga debe? Ok! Simba sisi umesema ni uchwara.Hivi unawezaje kulinganisha TP Mazembe na Azam? Mazembe ni timu kubwa mno,ina facility zote.Bado Katumbi ana Migodi yenye kuingiza billions of money na kununua mchezaji yeyote amtakaye! Azam bado inatambaa,Azam itakua timu bora.Nyinyi Yanga mmeshindwa nini? Miaka zaidi ya Uhuru bado mnahangaika.Acheni kubeza ovyo namna hiyo.

Mazembe hata kabla Katumbi hajaweka hela zake TP Mazembe ilikuwa ina mafanikio makubwa ilishachukua ubingwa wa Africa
 
Tatizo waswahili walioshindwa kuziendeleza simba na yanga ndio baadhi wako azam nahisi hata kocha wanampangia kikosi inaniuma sana aisee utadhani club yangu
 
Ujinga ujinga tu. Inafungwa manchester city,inafungwa chelsea, inafungwa man u,inafungwa barca inafungwa intel leo kufungwa azam eti i...mishabiki ya Yanga mijinga badala ya kujadili team yao inataka kuhamishia topic kwa azam kwa hiyo yanga kufungwa ni sawa kwa sababu hawana facilities nying kama azam? Miafrika huwa inatafuta sababu ya kuhalalisha makosa kwa sababu za kipuuzi kabisa
 
Sifahamu sheria za soka zinasemaje kuhusu hili , lakini ni wazi kwamba wachezaji wa Azam wanaidhulumu timu yao , hawastahili kufungwa kizembe namna kama wafanyavyo , ni wachezaji wanaopewa karibu kila kitu muhimu kuliko wachezaji wa timu karibu zote za ligi ya Vodacom .

Nini kinachowafanya wafungwe na timu za kuungaunga kama Ndanda na Simba ?

Kuna haja ya uongozi wa timu hii kutafuta watu wengine kabisa , watakaoitumikia timu hii kwa moyo na kwa uaminifu kuliko hawa akina John Boko & co.

Hivi kuna tofauti gani kati ya Azam na TP Mazembe tukilinganisha TREATMENT wanazopewa wachezaji ? Kwanini timu hii inaburuzwa na timu mbovu zisizokuwa hata na posho za uhakika ?

Si bure ! mwanzo nilijua tatizo ni makocha , lakini sasa nimetambua kwamba tatizo kubwa la timu hii ni wachezaji , ambao kuingia kwao Azam ni kama wamemaliza kila kitu , yuko wapi RAMADHANI SINGANO ? Kabweteka baada ya kufanikiwa !
Sikupendi siasani ila kwa hapa kula tano
 
Ujinga ujinga tu. Inafungwa manchester city,inafungwa chelsea, inafungwa man u,inafungwa barca inafungwa intel leo kufungwa azam eti i...mishabiki ya Yanga mijinga badala ya kujadili team yao inataka kuhamishia topic kwa azam kwa hiyo yanga kufungwa ni sawa kwa sababu hawana facilities nying kama azam? Miafrika huwa inatafuta sababu ya kuhalalisha makosa kwa sababu za kipuuzi kabisa
Nimecheka sana !
 
Ndugu yaani ndo tatizo letu. Jamaa mmoja alikuwa anasafiri na bosi wake.wakakamatwa na majambazi. Majambaz waka mkasirikia bosi anasafiri vipi na gari na dereva wake hana pesa. Adhabu yao waliwe tigo.

Lile dereva jinga likawa la kwanza kutangaza kwa watu kuwa ni aibu sana boss ana pesa na bado kaliwa tigo. Wakimuuliza na wewe si umeliwa dereva jinga linajibu....aaah mi si kwa sababu sina pesa. Yaani anahalalisha kuliwa tigo kwa sababu yeye ni maskini.kuchunguza kumbe yule boss mwarabu alikuwa anamla tigo dereva then anamlipa pesa.

Matusi yatakusaidia kitu gani ?
 
Kwa hiyo na Yanga itimue wachezaji wake wote eeh..
 
Nini kinachowafanya wafungwe na timu za kuungaunga kama Ndanda na Simba?

Hapo ↑↑↑ Ndipo Ulipoharibu Maudhui Nzima Ya Uzi Wako Coz Hukuuandika Katika Hali Ya Uneutral, Bali Umeuandika Kwa Kuvaa Uyanga!
Yaani Simba Ni Timu Ya Kuungaunga??
Sasa Subiri 1/10 ili ujifunze nini Maana Ya "No one Can Stop Reggae"
 
Back
Top Bottom