alexander paulo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 492
- 155
Katika siku za hivi karibuni kumetokea wachambuzi wengi katika soka letu la Tanzania, ambapo wengi wao wanatumia forum ya Azam Tv katika kujitafutia umaarufu wakati katika jamii ni watu ambao wanafadhahisha sana jamii katika maeneo yao ya kila siku , ushauri unapikelewa au kukataliwa, angalieni Nyenendo za mchambuzi wenu DOMINICK SALAMBA nawapa pongezi kwa kumfukuza katika mechi ya Tanzania na Tunisia, kwa tabia zake chafu lakini bado mnabeba, huyu pia ni afisa mazingira wawekezaji wanamfahamu kwa tabia zake haya kazi kwenu kuendelea naye au kuichafua brand yenu ya AzamTv