alexander paulo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 492
- 155
Naona kaharufu ka chuki binafsi!Katika siku za hivi karibuni kumetokea wachambuzi wengi katika soka letu la Tanzania, ambapo wengi wao wanatumia forum ya Azam Tv katika kujitafutia umaarufu wakati katika jamii ni watu ambao wanafadhahisha sana jamii katika maeneo yao ya kila siku , ushauri unapikelewa au kukataliwa, angalieni Nyenendo za mchambuzi wenu DOMINICK SALAMBA nawapa pongezi kwa kumfukuza katika mechi ya Tanzania na Tunisia, kwa tabia zake chafu lakini bado mnabeba, huyu pia ni afisa mazingira wawekezaji wanamfahamu kwa tabia zake haya kazi kwenu kuendelea naye au kuichafua brand yenu ya AzamTv
Peleka jukwaa la michezo, humu sio mahara pakeKatika siku za hivi karibuni kumetokea wachambuzi wengi katika soka letu la Tanzania, ambapo wengi wao wanatumia forum ya Azam Tv katika kujitafutia umaarufu wakati katika jamii ni watu ambao wanafadhahisha sana jamii katika maeneo yao ya kila siku , ushauri unapikelewa au kukataliwa, angalieni Nyenendo za mchambuzi wenu DOMINICK SALAMBA nawapa pongezi kwa kumfukuza katika mechi ya Tanzania na Tunisia, kwa tabia zake chafu lakini bado mnabeba, huyu pia ni afisa mazingira wawekezaji wanamfahamu kwa tabia zake haya kazi kwenu kuendelea naye au kuichafua brand yenu ya AzamTv
Nje ya Mada.
Hivi yule aliyekua mshambuliaji wa Simba Adam Salamba yuko wapi wazee?
Namungo fcNje ya Mada.
Hivi yule aliyekua mshambuliaji wa Simba Adam Salamba yuko wapi wazee?
Namungo fc
Hii siyo harufu tu ni uvundo. Yaani kosa la Salamba ni lipi Labda atueleze!! Watu wengine hawawezi kuficha ujinga hata wakiwa stendi ya basi?Naona kaharufu ka chuki binafsi!
Huyu ni msukuma msamehe bureeeHii siyo harufu tu ni uvundo. Yaani kosa la Salamba ni lipi Labda atueleze!! Watu wengine hawawezi kuficha ujinga hata wakiwa stendi ya basi?
Yupo Urabubi ila sijui Timu gani mkuuNje ya Mada.
Hivi yule aliyekua mshambuliaji wa Simba Adam Salamba yuko wapi wazee?
Mmh yuko Namungo fc banaYupo Urabubi ila sijui Timu gani mkuu