ushauri BACHELOR OF TECHNOLOGY IN ARCHITECTURE

Ndugu zangu naomba mnisaidie uhusiano ulliopo kati ya architecture technology na civil engineering.Natanguliza shukrani.
 
Ndugu zangu naomba mnisaidie uhusiano ulliopo kati ya architecture technology na civil engineering.Natanguliza shukrani.

Kwa nijuavyo mm mtu wa architecture anabase sana kwenye kudesign..baada ya hapo mchoro atapewa mtu wa civil ili adesign structure..na civil ina uwanja mpana sana..civil unaweza kuspecialize kwenye 1.structure(ie hao ndio wanaodondosha majengo)..2.water resource engineering 3. Highway engineering 4.transportation engineering nk..but pia mtu wa civil anakua na uwezo wa kuchora but hayupo compitent kama wa archtecture..kwa sababu katika kudesign kuna miiko yako na mtu wa architecture anakua yupo deep sana..but pia civil ni habari ya mjini maana ina dili za kufa mtu..(sorry hapo ni kwa upeo wng)
 

Nashukuru ndugu kwa maelezo mazuri.
 

iyo koz ni ngumu vibaya mdogo wangu ila ina pesa za kumwaga pale utakapokua ktk ajira...if umeipenda juc go kaisome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…