Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu naomba mnisaidie uhusiano ulliopo kati ya architecture technology na civil engineering.Natanguliza shukrani.
Kwa nijuavyo mm mtu wa architecture anabase sana kwenye kudesign..baada ya hapo mchoro atapewa mtu wa civil ili adesign structure..na civil ina uwanja mpana sana..civil unaweza kuspecialize kwenye 1.structure(ie hao ndio wanaodondosha majengo)..2.water resource engineering 3. Highway engineering 4.transportation engineering nk..but pia mtu wa civil anakua na uwezo wa kuchora but hayupo compitent kama wa archtecture..kwa sababu katika kudesign kuna miiko yako na mtu wa architecture anakua yupo deep sana..but pia civil ni habari ya mjini maana ina dili za kufa mtu..(sorry hapo ni kwa upeo wng)
ni course mzur but ngumu kiasi..jiandae kukesha na studio..coz hilo ndio core subject..haisumbui sana kwenye ajira hata kama ma-architect wameshaanza kuwa wengi..jivunie hujasoma chuo cha kata..utanisalimia teacher mmoja anaitwa mr choga na mmasai mmoja nimemsahau jina amemaliza ARU mwaka juzi anawapigia lecture hapo.hope hutojutia..