'Ushauri best' uliowahi kupewa......

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Katika shughuli zetu za kimaisha huwa tunakutana na watu mbalimbali\
ambao kwa nyakati tofauti huwa 'wanatushauri' jambo moja au mawili
katika masuala ya maisha kwa ujumla....iwe mapenzi,maisha na mengineyo....

most od times wakati unapewa huo ushauri unaweza kuwa hukujali saana
au hukuamini huo ushauri au kuutilia umuhimu....lakini through experience baada ya mda fulani
unagundua' dah....kumbe ule ushauri alionipa fulani' aiseee ulikuwa wa maaana mno na umekusaidia saaana
kwenye mambo yako.......

sasa leo ningependa watu tu share 'the best advice uliyowahi kupewa' iwe kwenye mapenzi au maisha tu kkwa ujumla

ushauri ambao kila mara unajikuta unaukumbuka sana na una shukuru kuupata...na ikiwezekana

kumtaja aliekupa huo ushauri humu kama ni ndugu,au rafiki au ni kitabu tu ulisoma au ni hapa jf uliona mtu kasema...

so people....what is the best advice you have ever received????????????
 
ule ambao unaendana na ninavyofikiria mimi. by the way l end up following my heart most of the time.
 
ule ambao unaendana na ninavyofikiria mimi. by the way l end up following my heart most of the time.

sasa katika hizo unazopewa nyiingi kuna mmoja ambao
ukikaa unasema dah....'fulani' aliniambia kitu cha maana sana kipindi kile'
yaani humsahau kwa ushauri wake......je kwako ni ushauri upi?ni nani huyo?
 
Duh, nilikuwa nikipewa ushauri wa kimaisha na mtu mmoja, mwingine nilikuwa naudharau na mwingine nautumia.

Kwa ushauri nilioutumia wote umenisaidia tatizo kune ushauri mwingine nilikuwa naukataa ambao sometimea huwa najuta kwa nini sikuufanyia kazi.

big up huyo mtu meen!
 
Binafsi huwa natoa ushauri zaidi kuliko kupokea. Huwa sipendi kuwaambia watu mambo yangu hivyo hata ninapokuwa katika situation ya kuhitaji ushauri kutoka pembeni huwa naamua kufanya mwenyewe maamuzi.
 
I can understand you. Ila mimi yakinisonga nilikuwa namwambia my sister wangu alipass away recently nitamkumbuka sana!
 
unaweza kukutana stranger tu...akakupa ushauri wa uliokubadilisha maisha yako milele
fikiria watu waliopewa ushauri kuhusu nini wasomee chuoni na kujikuta walichosomea ndio hasa
kinalipa na kinawapa furaha ya maisha but walikuwa pengine hawajui hiyo 'taaluma' kabla ya kushauriwa...
 
sasa katika hizo unazopewa nyiingi kuna mmoja ambao
ukikaa unasema dah....'fulani' aliniambia kitu cha maana sana kipindi kile'
yaani humsahau kwa ushauri wake......je kwako ni ushauri upi?ni nani huyo?

Upi l can't say, ni too personal lkn ni my sister zaidi (blood sis)
 
Mie kawaida sana, siwezi kukaa na kusema daaah kama sio fulani ngekuwa wapi leo...

labda bado sijapatwa na msukosuko wa kushindwa kuumudu ndio mana...
 
Kupewa ushauri si lazima umesongwa. Sometimea naweza nikaona opportunity ambayo inakufaa wewe kuliko mie nikakuambia Husyninyo ukifanya hiki kitu kitakufaidisha zaidi. Sio lazima iwe personal persoal things.
At a certain point in life naamini lazima umepata ushauri toka kwa mtu fulani.

Binafsi huwa natoa ushauri zaidi kuliko kupokea. Huwa sipendi kuwaambia watu mambo yangu hivyo hata ninapokuwa katika situation ya kuhitaji ushauri kutoka pembeni huwa naamua kufanya mwenyewe maamuzi.
 
Luckily some of us know what we want, though we might be vague on how to get them. I got what l wanted; but sitamsahau rafiki yangu mmoja (Mdada wa kimarekani) aliyenidrag (sikutaka) nikaongee na some of the big people ambao at the end of the day wamenipaisha sana. I won't forget Christine.
 
exactly...inaweza kuwa mwalimu alikutazama
akakwambia kitu mfano....ukifanya hivi na hivi utafika mbaali saana...
au ukisomea hiki utakuwwa daktari mzuri sana,au mwanadheria mzuri sana na kadhalika
au ukifanya biashara hii itakulipa sana
 
I can understand you. Ila mimi yakinisonga nilikuwa namwambia my sister wangu alipass away recently nitamkumbuka sana!

pole kaunga.
Off topic: nafurahi kukuona, uliadimika kidogo.
 
umeona sasa?Christine unamkumbuka now na pengine at that moment hukuona kuwa ni jambo utakalokumbuka
years later.....hiki ndo nilichotaka......unge share na sisi hata words aisee
labda alikwambia 'In life its all about confidence' na hujasahau mpaka leo
 
Anza kwanza kutuambia wa kwako halafu ndo tuendelee

Yaani wewe unataka tu wengine waseme wewe aahhh

Sema kwanza wewe
 
Hiyo ya kupena michongo, ni wachache sana kwa dunia ya sasa. Ideas ni bonge la deal! If u r among the few, pls keep it up! Again some people waoga wa kutake risk so waweza kumpa idea say inayomlazimu aquit anachokifanya akaogopa.

But again matapeli wa ushauri ni wengi pia. Anakupoteza makusudi; so bora ujue what u want in life kwanza ndio uhangaike na how!
 
SL, sijui mie mtu akisema ushauri picha inayoniijia kichwani ni tofauti za wengine.
Hata kama wewe ni mtu decisive kuna mtu at a certain point amekusaidia kupata a clear picture of what you need to do.

Ngoja nikupe mfano wakati nasoma nilijua nachotaka kusoma, kufika katikati nikaona uvivu kuendelea kufanya nlichokuwa nataka kufanya sababu ya ugumu nikataka urahisi zaidi.
Then mtu mmoja akajua nachotaka kufanya, alikuwa rafiki lakini alinisema kama ndugu yangu au ambavyo mzazi atasema. Basi nilikasirika maana niliona anaingilia mambo yangu lakini nikaamua kuuafuata alichoniambia.

Ushauri wake nauheshimu maana hadi leo hicho kitu kinanibeba sana.

Mie kawaida sana, siwezi kukaa na kusema daaah kama sio fulani ngekuwa wapi leo...

labda bado sijapatwa na msukosuko wa kushindwa kuumudu ndio mana...
 
Kuna shujaa flani alileta ushauri wa kuachana na Afrika na kutimua mbele. Enzi zile nilikuwa dogo lakini mzembe nilimwelewa.

damn! miaka 50 ya uhuru bado umeme wa mgao!
 
Binafsi huwa natoa ushauri zaidi kuliko kupokea. Huwa sipendi kuwaambia watu mambo yangu hivyo hata ninapokuwa katika situation ya kuhitaji ushauri kutoka pembeni huwa naamua kufanya mwenyewe maamuzi.

sikubaliani nawe, huwezi kuishi dunia hii usiombe ushauri hata kiduchu siku zooote za maisha yako.
 
ooh! Nilijua tunahitaji ushauri pale tunaposhindwa kufanya maamuzi (yaani tunapokuwa kwenye wakati mgumu tu). Kwa case hiyo wapo ila kama binafsi sijaridhika nacho huwa sifatishi. Kama mtu atanifata kunishauri kufanya jambo flani la manufaa huwa naomba muda nifikirie kama ni ushauri mzuri au lah. Vyovyote utavyoniambia lazima mimi nifanye maamuzi binafsi nitakayoridhika nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…