The Boss,i don't know if your thread was about me or may be was just a coincidence but what i can say it is about life and experience that goes with it.About ten years ago wakati nafikiria habari za kuoa nilikuwa na kaka wa rafiki yangu katika mazungumzo tu akawa anatoa experience ya rafikiake kwamba alioa kutoka kwenye familia ambayo baba na mama walikuwa wameachana by then ndoa zilikuwa sio kama generation yetu hii yaani ndoa kuvunjika ni kama fashion.Huyo rafiki wa kaka wa rafikiangu ndoa yake haikuchukua hata miaka mitatu ikawa imevunjika na katika regrets zake alisema kwamba hawezi kumshauri mtu kwenda kuoa kwenye familia kama hiyo. That was then,baada ya kuongea na kaka wa rafiki yangu hiyo issue ilipita miaka kadha,sasa wakati natafuta my ideal woman nilikuwa na my high school sweatheart lakini maongezi ya kaka wa rafikiangu yalikuwa yanakuja mara kwa mara kwani huyu my high school sweetheart wazazi wake tulikuwa tunaishi kitongoji kimoja waliachana katika mazingira ya kusikitisha kwamba mama aliamua kumpokea yesu,lakini to the extreme yaani hata comitment za familia kama mama akaziacha,baba akamuuliza simple question kwamba either ndoa au ulokole.Mama alichagua yesu na akaondoka nyumbani japo baadae alitaka kurudi,anyway niachie hapo upande ule.Sasa mimi hayo maneno yale ya kaka wa rafikiangu japo yaliniumiza kichwa lakini hatimaye nilijipa moyo kwamba was isolated incident.Nikaoa my high school sweetheart,ten years later with two kids,my wife left me sadly living with a guy used to be our driver.It is not fiction guys,it my true life's experience