Anza kwanza kutuambia wa kwako halafu ndo tuendelee
Yaani wewe unataka tu wengine waseme wewe aahhh
Sema kwanza wewe
I can understand you. Ila mimi yakinisonga nilikuwa namwambia my sister wangu alipass away recently nitamkumbuka sana!
umeona sasa?Christine unamkumbuka now na pengine at that moment hukuona kuwa ni jambo utakalokumbuka
years later.....hiki ndo nilichotaka......unge share na sisi hata words aisee
labda alikwambia 'In life its all about confidence' na hujasahau mpaka leo
Not exactly those words; but it about shouting out usikike. In that days; nilikuwa nafanya kitu (study) ambacho mimi niliona ni cha kawaida sana. To her, n later to the rest of the (my field world) it was something. So at end of the day l got recognized twice. So what l learnt ni grasp any opportunist which comes ur way; pia ni nzuri kubelieve in urself na follow any course, ukifanya kwa Moyo na passion lazima utafanya wonders!
mimi ushauri best niliowahi kuupata nilipata kwenye kitabu kimoja
kinaitwa 'what they dont teach you at Harvard Bussiness school...'
sijui nieleze nini but kila kilichoandikwa humo nilikuwa nakiamini asilimia mia moja
na niliona kama mwandishi kazungumza yaliyo kichwani mwangu....kilinipa
confidence ambayo imenisaidia sana so far
sikubaliani nawe, huwezi kuishi dunia hii usiombe ushauri hata kiduchu siku zooote za maisha yako.
pole kaunga.
Off topic: nafurahi kukuona, uliadimika kidogo.
But again matapeli wa ushauri ni wengi pia. Anakupoteza makusudi; so bora ujue what u want in life kwanza ndio uhangaike na how!
. But nilikuwa napitipitia humu, ila nimemiss majibizano yako na Nyani Ngabu, huwa yananifanya niwe na smile all the time.
The Boss,i don't know if your thread was about me or may be was just a coincidence but what i can say it is about life and experience that goes with it.About ten years ago wakati nafikiria habari za kuoa nilikuwa na kaka wa rafiki yangu katika mazungumzo tu akawa anatoa experience ya rafikiake kwamba alioa kutoka kwenye familia ambayo baba na mama walikuwa wameachana by then ndoa zilikuwa sio kama generation yetu hii yaani ndoa kuvunjika ni kama fashion.Huyo rafiki wa kaka wa rafikiangu ndoa yake haikuchukua hata miaka mitatu ikawa imevunjika na katika regrets zake alisema kwamba hawezi kumshauri mtu kwenda kuoa kwenye familia kama hiyo. That was then,baada ya kuongea na kaka wa rafiki yangu hiyo issue ilipita miaka kadha,sasa wakati natafuta my ideal woman nilikuwa na my high school sweatheart lakini maongezi ya kaka wa rafikiangu yalikuwa yanakuja mara kwa mara kwani huyu my high school sweetheart wazazi wake tulikuwa tunaishi kitongoji kimoja waliachana katika mazingira ya kusikitisha kwamba mama aliamua kumpokea yesu,lakini to the extreme yaani hata comitment za familia kama mama akaziacha,baba akamuuliza simple question kwamba either ndoa au ulokole.Mama alichagua yesu na akaondoka nyumbani japo baadae alitaka kurudi,anyway niachie hapo upande ule.Sasa mimi hayo maneno yale ya kaka wa rafikiangu japo yaliniumiza kichwa lakini hatimaye nilijipa moyo kwamba was isolated incident.Nikaoa my high school sweetheart,ten years later with two kids,my wife left me sadly living with a guy used to be our driver.It is not fiction guys,it my true life's experience
Sikumbuki a particular advice nilio pewa, ila nakumbuka general words that people tell me (not necessarly as I write them here but the main idea is here), ambazo nimezifanya kua motto ya maisha sasa hivi:
I take this oportunity to thank them both... :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
- Mama yangu anapenda sana kunambia :Barbie (she calls me barbie because I am her little doll) your thought are your limit. be careful of what you think of as you might get it. what you think about you bring about. Na nilipo elewa what she meant by this maisha yangu yamekua very, very easy to live and to accept.
- Mume wangu tells me often: we amua tu Baby. ni swala la kuamua tu. And he is right too... Na nikikumbuka haya maneno naona hakuna kitakacho nishinda maishani. lol
Pole kwa yaliyokukuta.The Boss,i don't know if your thread was about me or may be was just a coincidence but what i can say it is about life and experience that goes with it.About ten years ago wakati nafikiria habari za kuoa nilikuwa na kaka wa rafiki yangu katika mazungumzo tu akawa anatoa experience ya rafikiake kwamba alioa kutoka kwenye familia ambayo baba na mama walikuwa wameachana by then ndoa zilikuwa sio kama generation yetu hii yaani ndoa kuvunjika ni kama fashion.Huyo rafiki wa kaka wa rafikiangu ndoa yake haikuchukua hata miaka mitatu ikawa imevunjika na katika regrets zake alisema kwamba hawezi kumshauri mtu kwenda kuoa kwenye familia kama hiyo. That was then,baada ya kuongea na kaka wa rafiki yangu hiyo issue ilipita miaka kadha,sasa wakati natafuta my ideal woman nilikuwa na my high school sweatheart lakini maongezi ya kaka wa rafikiangu yalikuwa yanakuja mara kwa mara kwani huyu my high school sweetheart wazazi wake tulikuwa tunaishi kitongoji kimoja waliachana katika mazingira ya kusikitisha kwamba mama aliamua kumpokea yesu,lakini to the extreme yaani hata comitment za familia kama mama akaziacha,baba akamuuliza simple question kwamba either ndoa au ulokole.Mama alichagua yesu na akaondoka nyumbani japo baadae alitaka kurudi,anyway niachie hapo upande ule.Sasa mimi hayo maneno yale ya kaka wa rafikiangu japo yaliniumiza kichwa lakini hatimaye nilijipa moyo kwamba was isolated incident.Nikaoa my high school sweetheart,ten years later with two kids,my wife left me sadly living with a guy used to be our driver.It is not fiction guys,it my true life's experience
almost yes... Ni kama I have some potential that I am affraid to unleash and I need to be reminded. I am a very shy person... lolni kama wote wanakuambia sky is the limit