almost yes... Ni kama I have some potential that I am affraid to unleash and I need to be reminded. I am a very shy person... lol
Ila ya mume wangu it is more about situation that I see as unresolvable, ananambia hivo kwa maana ya : ukiamua kuchukulia poa itauma at first but later utaona poa tu. whereas my mum ni more like: even if you think you can't decide and you will be able to... does it make sense?
Katika shughuli zetu za kimaisha huwa tunakutana na watu mbalimbali\
ambao kwa nyakati tofauti huwa 'wanatushauri' jambo moja au mawili
katika masuala ya maisha kwa ujumla....iwe mapenzi,maisha na mengineyo....
most od times wakati unapewa huo ushauri unaweza kuwa hukujali saana
au hukuamini huo ushauri au kuutilia umuhimu....lakini through experience baada ya mda fulani
unagundua' dah....kumbe ule ushauri alionipa fulani' aiseee ulikuwa wa maaana mno na umekusaidia saaana
kwenye mambo yako.......
sasa leo ningependa watu tu share 'the best advice uliyowahi kupewa' iwe kwenye mapenzi au maisha tu kkwa ujumla
ushauri ambao kila mara unajikuta unaukumbuka sana na una shukuru kuupata...na ikiwezekana
kumtaja aliekupa huo ushauri humu kama ni ndugu,au rafiki au ni kitabu tu ulisoma au ni hapa jf uliona mtu kasema...
so people....what is the best advice you have ever received????????????
[/B] mkuu kutaja ushauri ulio kuwa mzuri , na mtu aliye shauri, ni kama kutoa siri zako. ndo maana watu wanaishia kusem eti mara hawaombi ushuri , wanatoa tuu,..... nk.
unaweza kutoa wewe kwanzza? weka shuhuda yako wengine wanaweza kufuata
to disappoint yourself ?
hujawahi kuwa disappoint wengine??????
Sasa siri gani unatoa na wewe?Kwani kasema tutaje majina na kutoa details zote zinazohusiana na huo ushauri? Ni kiasi tu cha kusema "rafiki yangu alinishauri kujenga kabka ya kununua gari" tu basi. Ot doesn't have to be "Naitwa Musa Kijiwe, nilipokua nafanya kazi TRA nilipiga dili la mil. 50 nikataka kuvuta mchuma wa nguvu.Ila rafiki yangu Juma Pemba tuliekua tunafanya kazi ofisi moja akanishauri niachane na gari nijenge kwanza.Nikanunua kiwanja pale Mbuyuni nikaanza kujenga. Mpaka leo namiliki nyumba ya mil. 120 na gari tatu. "[/B] mkuu kutaja ushauri ulio kuwa mzuri , na mtu aliye shauri, ni kama kutoa siri zako. ndo maana watu wanaishia kusem eti mara hawaombi ushuri , wanatoa tuu,..... nk.
unaweza kutoa wewe kwanzza? weka shuhuda yako wengine wanaweza kufuata
I think not. . .
Labda kama wapo wasiofurahia yale nnayofurahia mimi.
Sasa siri gani unatoa na wewe?Kwani kasema tutaje majina na kutoa details zote zinazohusiana na huo ushauri? Ni kiasi tu cha kusema "rafiki yangu alinishauri kujenga kabka ya kununua gari" tu basi. Ot doesn't have to be "Naitwa Musa Kijiwe, nilipokua nafanya kazi TRA nilipiga dili la mil. 50 nikataka kuvuta mchuma wa nguvu.Ila rafiki yangu Juma Pemba tuliekua tunafanya kazi ofisi moja akanishauri niachane na gari nijenge kwanza.Nikanunua kiwanja pale Mbuyuni nikaanza kujenga. Mpaka leo namiliki nyumba ya mil. 120 na gari tatu. "
Na vipi unawachukulia? lets say wako right kwa wanachokichukia kutoka kwako?
Jibu kwa ufasaha , leo lawyer niko kwenye mood ya mjadala
[/B] mkuu kutaja ushauri ulio kuwa mzuri , na mtu aliye shauri, ni kama kutoa siri zako. ndo maana watu wanaishia kusem eti mara hawaombi ushuri , wanatoa tuu,..... nk.
lizzy inabidi tukuajiri humu jf uwe unafanya kazi kama hii ya
kuwaelewesha wasioelewa hizi threads aisee lol
umenichekesha but thanx aisee lol
Katika shughuli zetu za kimaisha huwa tunakutana na watu mbalimbali\
ambao kwa nyakati tofauti huwa 'wanatushauri' jambo moja au mawili
katika masuala ya maisha kwa ujumla....iwe mapenzi,maisha na mengineyo....
most od times wakati unapewa huo ushauri unaweza kuwa hukujali saana
au hukuamini huo ushauri au kuutilia umuhimu....lakini through experience baada ya mda fulani
unagundua' dah....kumbe ule ushauri alionipa fulani' aiseee ulikuwa wa maaana mno na umekusaidia saaana
kwenye mambo yako.......
sasa leo ningependa watu tu share 'the best advice uliyowahi kupewa' iwe kwenye mapenzi au maisha tu kkwa ujumla
ushauri ambao kila mara unajikuta unaukumbuka sana na una shukuru kuupata...na ikiwezekana
kumtaja aliekupa huo ushauri humu kama ni ndugu,au rafiki au ni kitabu tu ulisoma au ni hapa jf uliona mtu kasema...
so people....what is the best advice you have ever received????????????
"...kua uyaone! "...'maneno' mengine sijui ni ushauri au laana, ...The Boss nisamehe na mapicha yangu kaka..najaribu kufikisha ujumbe ki mbu-mbu.
...wangapi mshaambiwa maneno haya?
Hamna kitu nachukia kama hayo maneno...haswa pale msemaji anapokosa namna ya kupinga unachoamini na kuyatumia kuonyesha kwamba kwa umri wako huwezi jua kitu. Yani maoni/mawazo/imani yako imekaa kinjozi zaidi wakati yake imekaa kiuhalisia.Nachukia kwasababu huo msemo hua unasuggest kwamba wote tunafanana, hivyo mimi nisipokua kama yeye eg. (kubali partner mnyanyasaji, cheater, kua mkweli sana, kataa kuhongwa and the likes) nakua siishi kiuhalisia.
Ila ikiwa anaesema anamaanisha nijiandae kua surprised mbeleni naelewa maana tayari nishaona mengi ambayo sikutegemea wala sikuwahi kuyafikiria. . . including magorofa.Lolzzzz.
Sijajua Lizzy una umri gani.
kuna vitu ambavyo mtu anayekuzidi umri anakueleza lakini kutonana na experience yako may be limited unakuwa humwelewia au hukubaliani kabisa na anachokisema kwa wakati huo.
Na wakati unapinga hoja yake ni kweli you have your reasons kupinga hiyo hoja, and sometimes valid reasons practically.
Lakini baada ya miaka kadhaa unaweza kutana na case ulobishana na huyo mtu anayekuzidi umri na ukafanya uamuzi aliokuwa anashauri mtu mzima kwa wakati ule na wewe ulikuwa unaupinga.
As time goes na tunakuwa watu wazima, our judgement basis zinabadilika.
Naweza andika hata page 100 hapa lakini, its only time and your own experience that will make u see this. Sometimes mtu mzima anapokueleza na wewe huelewi jibu fupi la kuelezea hii scenerio ni haya maneno mawili ''kua uyaone''