'Ushauri best' uliowahi kupewa......

Dah!!!! Pole sana mkuu....
 
" usimdharau mtu yeyote yule" amri ya kwanza ya mama
" Hata kama maisha ni magumu kiasi gani" Be positive. from my beautiful mum.
" Kila baya kuna zuri ndani yake" ushauri wangu mwenyewe..
You're right kabisa.....
 
" usimdharau mtu yeyote yule" amri ya kwanza ya mama
" Hata kama maisha ni magumu kiasi gani" Be positive. from my beautiful mum.
" Kila baya kuna zuri ndani yake" ushauri wangu mwenyewe..
Usimdharau mtu yeyote yule ila usidanganyike na kile unachokiona either, hii ntakumbuka maana nlivyoingizwa town sio mchezo.
 
Usimdharau mtu yeyote yule ila usidanganyike na kile unachokiona either, hii ntakumbuka maana nlivyoingizwa town sio mchezo.

yaani wewe ulivyo 'mjanja' halafu uingizwe mjini?lol
natamani unipe full story..lol
 
" usimdharau mtu yeyote yule" amri ya kwanza ya mama
" Hata kama maisha ni magumu kiasi gani" Be positive. from my beautiful mum.
" Kila baya kuna zuri ndani yake" ushauri wangu mwenyewe..

you have a 'good mum'....
 
halafu Gaijin ulipotelea wapi?
tulikumiss mno,umeona gazeti la udaku la jf?
 
halafu Gaijin ulipotelea wapi?
tulikumiss mno,umeona gazeti la udaku la jf?

Nipo busy kimtindo siku mbili hizi, ila nimepitia baadhi ya posts nimecheka sana.....nyie watu si wazima!
 
Nipo busy kimtindo siku mbili hizi, ila nimepitia baadhi ya posts nimecheka sana.....nyie watu si wazima!

halafu lile gazeti watu wametumia kurushiana vijembe vya ukweli...yaani lol
 
yaani wewe ulivyo 'mjanja' halafu uingizwe mjini?lol
natamani unipe full story..lol

Mwenyewe sikuamini, mpaka aibu kuhadithia.
Ila baada ikagundulika kwamba ni watu ambao walikua wananifuatilia muda.Alafu walikua na bahati kishenzi, yani ni kama vile nilienda kuwachukulia pesa wao.
 
The boss kwa kweli wapo wengi katika aspects tofauti sana
To begin with......my lovely mother siku moja aliniambia akiwa anasafiri kwenda nje ya nchi....." Olesaidimu mpende , msiklize na kumuheshimu sana mkeo mwanangu" hili nalikumbuka as limekuwa moja kati ya nguzo kubwa sana ya ndoa yangu, wengi tuliopo kwenye ndoa furaha na mafanikio yetu yanakuwa impaired sana na conflicts.....to an extent mtu anajuta na kukata tamaa....so far as those words still revaberates in my ears huu ushauri naukumbuka sana na ni one among top ranking
 
hii kweli mkubwa THE BOSS.Mimi,baba yangu mdogo alinishauri na kusoma kozi ya CIVIL ENG,badala yake nisome ict-b{info com tech with business} kwa kweli namshukuru sana kwani nimepata kozi ambayo naifurahi sana jinsi ninavyopata elimu mbalimbali kwa wakati m1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…