Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Ahsante your highness kim jong un hahah.Nakushauri ufungue mwenge tafuta eneo karibu na inapojengwa stand mpya.
Makumbusho patapwaya maana stand itahamia mwenge hivi karibuni. Ukipita pale mwenge utaona stand ujezi unaendelea na stand ikihamia mwenge patakuwa bize kama zamani.
Hivi kilichosababisha kupwaya kwa ule ubize wa Mwenge ilikuwa ni nini haswa.Nakushauri ufungue mwenge tafuta eneo karibu na inapojengwa stand mpya.
Makumbusho patapwaya maana stand itahamia mwenge hivi karibuni. Ukipita pale mwenge utaona stand ujezi unaendelea na stand ikihamia Mwenge patakuwa bize kama zamani.
Stand ilihamishwa kwenda Makumbusho.Hivi kilichosababisha kupwaya kwa ule ubize wa Mwenge ilikuwa ni nini haswa..
for sure, hata mimi niliwaza hilo, ila stendi inarudi so mambo yatakuwa poa karibuniStand ilihamishwa kwenda makumbusho.
Yatakuwa poa Sanafor sure, hata mimi niliwaza hilo, ila stendi inarudi so mambo yatakuwa poa karibuni
Bia au sio[emoji23][emoji23][emoji23]Tunyweni BIA jamani
Yes, BiaBia au sio[emoji23][emoji23][emoji23]
Live mwananguYes, Bia
Nakushauri ufungue mwenge tafuta eneo karibu na inapojengwa stand mpya.
Makumbusho patapwaya maana stand itahamia mwenge hivi karibuni. Ukipita pale mwenge utaona stand ujezi unaendelea na stand ikihamia mwenge patakuwa bize kama zamani.
Eneo ilipokuwa ofisi ya CCM na maeneo jiraniStendi ya makumbusho inahamishiwa mwenge tena?Mwenge sehemu gani pale palikuwa na stendi zamani kisha ikahamia makumbusho?
Duuh kweli hii nchi ni kichwa cha mwendawazimuEneo ilipokuwa ofisi ya CCM na maeneo jirani
Ujenzi unaendelea kwa Kasi ya Hali ya juuDuuh kweli hii nchi ni kichwa cha mwendawazimu
Ujenzi unaendelea kwa Kasi ya Hali ya juu
Sijui itakuwaje mkuu nawaonea huruma waliowekeza maduka paleHalafu ile stendi ya makumbusho itatumikaje?
Sijui itakuwaje mkuu nawaonea huruma waliowekeza maduka pale
yah ni kweli...Ila pesa zao zimesharudi