Ushauri: Biashara kati ya Mwenge, Makumbusho na Sinza

Ushauri: Biashara kati ya Mwenge, Makumbusho na Sinza

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Hello Friends,

Nafikiria kuanzisha duka la Urembo na Vipodozi. Nafikira kuuza cosmetics zillizo expensive, za bei ya kati na za bei ya chini.

Ni eneo lipi kati ya MWENGE, MAKUMBUSHO na SINZA ambalo nitapata soko zuri na biashara itafit vizuri kutokana na mazingira na nature ya biashara yangu.
 
Nakushauri ufungue mwenge tafuta eneo karibu na inapojengwa stand mpya.

Makumbusho patapwaya maana stand itahamia mwenge hivi karibuni. Ukipita pale mwenge utaona stand ujezi unaendelea na stand ikihamia mwenge patakuwa bize kama zamani.
Ahsante your highness kim jong un hahah.
 
Nakushauri ufungue mwenge tafuta eneo karibu na inapojengwa stand mpya.

Makumbusho patapwaya maana stand itahamia mwenge hivi karibuni. Ukipita pale mwenge utaona stand ujezi unaendelea na stand ikihamia Mwenge patakuwa bize kama zamani.
Hivi kilichosababisha kupwaya kwa ule ubize wa Mwenge ilikuwa ni nini haswa.
 
Stendi ya makumbusho inahamishiwa mwenge tena?Mwenge sehemu gani pale palikuwa na stendi zamani kisha ikahamia makumbusho?

Back
Top Bottom