Ushauri biashara nchini Comoro

Ushauri biashara nchini Comoro

digalangosha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
1,572
Reaction score
2,286
Habarini wawekezaji

Naombeni ushauri kwa mlionitangulia.

Nina kimtaji changu kidogo hapa 15,000,000, nilikua nataka nifanye biashara.

Sasa katika kukaa na watu kuna jamaa yangu akaniambia biashara kama asali, mbuzi, mchele n.k vinalipa sana ukipeleka Comoro na sometimes hata malipo yake ufanyikia hapa hapa Dar ukifikisha mzigo kwa dealer tu na bei za bidhaa kaniambia huwa zinalipa mpaka mara mbili na zaidi ya hela ya mtaji.

Sasa naomba ushauri maana kwenye wengi lazima kutapatikana neno tu, najua wapo watu ambao wana ujuzi na biashara za Comoro pia.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom