miss personal cook
Member
- Apr 4, 2019
- 81
- 90
Na ubaya wa kufungua butchery ni kwamba linafuatiliwa sana na watu wa manispaa sijui ndio wale wanawaita mabwana afya.Kodi kwa siku ni 50k ? Hiyo ni takribani 1.5m / 30days
Kwa kodi hiyo jaribu bucha
Hiyo kodi umekosea au ni kwa mwezi au