miss personal cook
Member
- Apr 4, 2019
- 81
- 90
Wakuu nawasalimu,
Ama baada ya salaam naombeni ushauri wenu.
Kuna frem ipo maeneo ninayoishi nataka kuilipia. Bado niko dilemma ni biashara gani niweke hapo kati ya butchery (Bucha) au salon ya kike.
Kodi ya frem ni 50,000 kwa mwezi.
Biashara gani itanifaa hasa ukizingatia eneo ninaloishi kuna Bucha moja tu na saluni pia sio nyingi kivile.
Natanguliza shukrani.