USHAURI:Biashara ya injin na mashine parts (Machinery parts)

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Habari wana jamvi,nimekuja kwenu kuomba USHAURI juu ya kuanzisha biashara ya kuuza vifaa vidogo vidogo vya machine kama mikanda(belt) ,engine oil na ring piston kwa mtaji wa 2.5M naweza kuanza ?
Na je ni wapi nitavipata hivyo vifaa kwa gharama nafuu ?
If it possible taja kifaa unachoona ni cha muhimu kwa machine ninachotakiwa kuwa nacho dukani
 
Kwanza Uko wapi Mkuu ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…