Ushauri: Biashara ya kufanya kwa mtaji chini ya Tsh 200,000. Eneo la biashara ninalo

Ushauri: Biashara ya kufanya kwa mtaji chini ya Tsh 200,000. Eneo la biashara ninalo

Ooooh thank you bloo nime kupata ila pamechangamka kwelii lakini wapo wengi wanao fanya biashala iyoo wengi sanah
 
OK bloo Sema ilo eneo apo mwanzo alikuwepo mtu a kifanya biashala iyo lakini aka badili locasion sa uwenda aliona kwa biashala iyo aiwezekani kwa pale
 
Umetisha na chukua iyoooh bila Shaka
 
Ila eneo lipo Mbagala Zakhiem ila bado sijajua nikaweke biashara ghmani kwa huo mtaji nilionao.

Naomba ushauri au mawazo yatakayonifanya nijue biashara gani nifanye eneo hilo na kwa guo mtaji.
Tengeneza banda aza kuuza matunda mchanganyiko kodi jokofu uza na maji ya Kandoro kama nafasi inaruhusu weka na mwamvuli na mabenchi na saani kata upande menya maembe nanasi matikiti nk tatizo mgabo kama hakuna mgambo wabongo wakiona unawini kila 1 ataanza kuuza matunda sehemu hiyo ila mpaka waanze utakuwa umesha piga kazi miezi sitta biashara ya matunda miezi sita utakuwa na akiba isio pungua1500000
 
Hilo eneo ni meza, banda au frame ? Nilikuwa natafuta mtu mwenye enro la biashara ambapo mtaji hauzidi 1ml eneo km zakhem apo niweze kuingia nae ubia wa biashara kwa kushea nae mtaji then faida tunagawana kwa kamisheni.

Nina cash hapa si chini ya 1ml kama utakuwa tayari nichek pm tuyajenge maana nisije nikaitia kiberiti bar. Nipo kigamboni
 
Ila eneo lipo Mbagala Zakhiem ila bado sijajua nikaweke biashara ghmani kwa huo mtaji nilionao.

Naomba ushauri au mawazo yatakayonifanya nijue biashara gani nifanye eneo hilo na kwa guo mtaji.
Haya tusichoke
 
Ila eneo lipo Mbagala Zakhiem ila bado sijajua nikaweke biashara ghmani kwa huo mtaji nilionao.

Naomba ushauri au mawazo yatakayonifanya nijue biashara gani nifanye eneo hilo na kwa guo mtaji.

Eneo mara nyingi ndo linaamua biashara ya kufanya, angalia mazingira, kuwa mbunifu, fanya tofauti.

Biashara ambayo huwa inakubalia popote na inaendana na mgaji wako ni genge la fresh foods.

Kababda au kameza kazuri, weka nyanya, hoho, kila kitu, kuwa smart, panga kwa usafi, utafanya biashara.
 
Tengeneza banda aza kuuza matunda mchanganyiko kodi jokofu uza na maji ya Kandoro kama nafasi inaruhusu weka na mwamvuli na mabenchi na saani
Majokofu ya kukodisha yanapatikana wapi
 
Angalia jamii yako inachangamoto gani, au bidhaa gani hawaipati kw urahisi, au wanaipata kwa gharama kubwa then tatua changamoto zao. Monetize the problem ili upate pesa
 
Back
Top Bottom