Ushauri biashara ya kufyatua matofali

Ushauri biashara ya kufyatua matofali

Bei ya manual shingapi mkuu; Za umeme izo as we grow tutazinunua baadae!!! Alafu na Tani mmoja ya cement pale wazo inaweza ikawa inasimama kwa ngapi?
Mashine sio gharama ya umeme unaweza pata nzuri na yenye chuma kigumu kwa mil2.5.
Pia waweza nicheki 0719392415.
Ninayo mpya nilinunua haijafanya kazi naweza nikakuuzia
 
Unahitaji vitu hivi
1. Eneo ambalo lipo karibu na barabara
2. Mashine ya kuchanganya mchanga na cement (kuna za umeme n.k)
3. Cement mifuko kadhaa
4. Lori kadhaa za mchanga
5. Vibao vya kuwekea tofali 500 (hv nunua mbao nenda kwa fundi mbao akutengenezee)
6. Tembelea wafanyabiashara wanaouza matofali wakupe data zaidi (Hili ni la msingi zaidi)
7. Utahitaji pia nguvukazi ya vijana angalau 5 (huwa wanalipwa kutokana na mifuko ya cement iliyotengenezwa siku hiyo)
8. Nakutakia kila la kheri katika biashara yako ya matofali
Hv hz mashine za kuchanganya mchanga zp ambazo hazitumii umeme??
 
Habarini wandugu mie ni mwajiriwa katika taasisi ya kifedha hapa mjini Shinyanga, niko na mwenzangu tumefikiria kuanzia biashara ya matofari kwani ujenzi huku ndio wimbo wa kila mmoja.

Nahitaji kujua vitu vya muhimu sana kwenye hii biashara kwani kwa sasa tumeandaa mtaji wa millioni sita. Ahsanteni.
Fyatua fedha mkuu
 
Back
Top Bottom