CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Nina eneo naliuza bei cheee waweza kuanzia mradi wako hapo 0712769766
Kivipi mkuu, hebu bainisha kidogo nna vibanda vyangu vitatu namalizia ili niviweke sokoni-sheria zipi hizo unazokusudia?Jenga nyumba upangishe tu kaka mambo ya kuuza achana nayo maana sheria za nchi hii ni htr.