Ushauri: Biashara ya kujenga na kuuza nyumba Tanzania!!!

Ushauri: Biashara ya kujenga na kuuza nyumba Tanzania!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
933
Wakuu naombeni ushauri juu ya biashara tajwa.Ninampango wa kuanzisha hii biashara siku za usoni inshaallah!!!!
 
Nilikuwa nina mpango wa kuanza iyo business since 2008 lakini sheria za nchi zilikuwa hazipo vizuri kama sasa,
unaweza kuifanya ila yakupasa utafute banker ambaye atatoa mkopo kwa customers wako na inategemea niche unayotarget wa hali ya chini ama ya juu.property developer
 
Ni biashara nzuri lakini inategemea unawalenga watu wa kipato gani!
 
Nina eneo naliuza bei cheee waweza kuanzia mradi wako hapo 0712769766
 
Jenga nyumba upangishe tu kaka mambo ya kuuza achana nayo maana sheria za nchi hii ni htr.
 
Jenga nyumba upangishe tu kaka mambo ya kuuza achana nayo maana sheria za nchi hii ni htr.
Kivipi mkuu, hebu bainisha kidogo nna vibanda vyangu vitatu namalizia ili niviweke sokoni-sheria zipi hizo unazokusudia?
 
Mkuu hiyo biashara ndiyo ya uhakika, na hasa kwenye miji mikubwa dar, arusha, mwz, mbeya na pia sehemu maalumu zenye mahitaji hayo migodi, mtwara gas kwa mikataba maalumu na makampuni husika kuwalenga wafanyakazi wao kununua n.k. natafuta watu wa kufanya research kutafuta ni wapi hasa demand ni kubwa na pia uwezo wa wateja na nyumba aina gani zinawafaa n.k.
 
nami nipo mbioni kuifanya.usiogope kaka.kila kitu kinahitaj utafit.so endelea kutafit vitu gani muhimu kukusaidia kuanza na kufanikiwa
 
PM Kiongozi tupeane mawazo yanayoendana na hiyo idea yako.
 
Sheria kwa sasa zimekaaje kama unataka kufanya hii biashara? Pia naomba kupata mrejesho kama ulifanikiwa kuanza hii biashara, has soko lake limekaaje ie upatikanaji wa maeneo na wateja
 
Back
Top Bottom