Ufataji wako wa mbegu utakugharimu sana Gunia elfu 60-80 bado usafiri (kama unao wakwako ni sawa) ukilikamua gunia unapata lita 18-20.
.
Lita tano=22,00-24,000 kwenye gunia moja bado gharama za uendeshaji wa hiyo mashine (KUMBUKA UMEME WA DAR NI GHALI MNO)
.
Hata ukiuza mashudu nazani bado faida itakuw ndogo mno.
Mashudu atauzia wapi?
Hapa hapa Dar
Kwa wafuga nguruwe na kuku mkuu.Mashudu atauzia wapi?
Mashine yako ina ukubwa gani yani uwezo kukamua mafuta per hour ni tone ngapWadau napenda kupata ushauri bishara ya kukamua na kuuza mafuta ya alizeti kwa Dar inalipa? Nimefunga mashine kwa hapa dar lakini material kwa maana ya mbegu itanilazimu nikanunue Singida au Dodoma. Nimeamua kufunga hiyo mashine hapa Dar kwa ajili ya urahisi wa kusimamia maana mimi ni mwajiriwa pia.
Mashine yako ina ukubwa gani yani uwezo kukamua mafuta per hour ni tone ngap
hiyo mashine ingekuwa vema ukaifungie sehem kunakolatikana hiyo mbeg ili km ni biashara ukauzie dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta mashine singida tena huiweki mjini kuna kata ziko ndani ndani zina umeme utapiga pesa hata hio kazi utaacha
hiyo mashine ingekuwa vema ukaifungie sehem kunakolatikana hiyo mbeg ili km ni biashara ukauzie dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua vzr kama ungefungulia kule singida /dom ambapo malighafi zinapatikana then uwe unasafirisha bidhaa (mafuta) dsm. Nadhani kusafirisha malighafi kutoka kule kuleta DSM itakua kubwa zaidi kuliko kusafirisha bidhaa kutoka kule kuleta DSM hivyo itaongeza gharama za uzalishajiWadau napenda kupata ushauri bishara ya kukamua na kuuza mafuta ya alizeti kwa Dar inalipa? Nimefunga mashine kwa hapa dar lakini material kwa maana ya mbegu itanilazimu nikanunue Singida au Dodoma. Nimeamua kufunga hiyo mashine hapa Dar kwa ajili ya urahisi wa kusimamia maana mimi ni mwajiriwa pia.
Samahani Kaka hyo mashine yako ulinunua kwa bei gani na zinauzwa wapiWadau napenda kupata ushauri bishara ya kukamua na kuuza mafuta ya alizeti kwa Dar inalipa? Nimefunga mashine kwa hapa dar lakini material kwa maana ya mbegu itanilazimu nikanunue Singida au Dodoma. Nimeamua kufunga hiyo mashine hapa Dar kwa ajili ya urahisi wa kusimamia maana mimi ni mwajiriwa pia.
Samahani Kaka hyo mashine yako ulinunua kwa bei gani na zinauzwa wapi
Sent using Jamii Forums mobile app