mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Na ukishapata hyo mashine kuna vitu gani vingine vya kununua au kuandaa ili mradi ukamilike?Mimi nilinunua china lakini ukienda sido utapata shs 4,000,000 niliziona kwenye maonyesho ya sabasaba
Gunia hlo la alzet ni lenye debe ngapi kakaWadau napenda kupata ushauri bishara ya kukamua na kuuza mafuta ya alizeti kwa Dar inalipa? Nimefunga mashine kwa hapa dar lakini material kwa maana ya mbegu itanilazimu nikanunue Singida au Dodoma. Nimeamua kufunga hiyo mashine hapa Dar kwa ajili ya urahisi wa kusimamia maana mimi ni mwajiriwa pia.
Na ukishapata hyo mashine kuna vitu gani vingine vya kununua au kuandaa ili mradi ukamilike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sido au temdo ya Arusha pale utapata,nzuri na imara,kuliko hizo za chuma.Mimi nilinunua china lakini ukienda sido utapata shs 4,000,000 niliziona kwenye maonyesho ya sabasaba
NdioNa ukishapata hyo mashine kuna vitu gani vingine vya kununua au kuandaa ili mradi ukamilike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpeleke mke akasimamie au tafuta kijana ambae hana majukumu makubwa, muingie mkataba mzuri usiokandamizaji.Watanzania suala la uaminifu ni F kabisa jitahidi kuna baadhi ya makabila ni waaminifu kama hutawalalia sana.Pole sana hiyoni changamoto kubwa katika uwekezaji mdogomdogo.Makabila waaminifu ni wasukuma, wabena, waha.Kama wewe ni myaki au mchaga asithubutu kuwaweka hao ndugu watageuza mtaji kuwa wao .Tafuta msukuma ndugu hutajuta kama vipi nikuunganishe na vijana waaminifu.Tatizo niliwahi kufunga mashine katika moja ya mikoa inayozalisha alizet nikawa nimempa mtu wa kusaidia katika isimamizi lakini matarajio yangu yalipotea kabisa maana sikuweza kupata faida yoyote zaidi ya kiswahili kingi kitoka kwa huyo msimamizi.
Ufataji wako wa mbegu utakugharimu sana Gunia elfu 60-80 bado usafiri (kama unao wakwako ni sawa) ukilikamua gunia unapata lita 18-20.
.
Lita tano=22,00-24,000 kwenye gunia moja bado gharama za uendeshaji wa hiyo mashine (KUMBUKA UMEME WA DAR NI GHALI MNO)
.
Hata ukiuza mashudu nazani bado faida itakuw ndogo mno.
kilo 13 zinatoa 5ltsUfataji wako wa mbegu utakugharimu sana Gunia elfu 60-80 bado usafiri (kama unao wakwako ni sawa) ukilikamua gunia unapata lita 18-20.
.
Lita tano=22,00-24,000 kwenye gunia moja bado gharama za uendeshaji wa hiyo mashine (KUMBUKA UMEME WA DAR NI GHALI MNO)
.
Hata ukiuza mashudu nazani bado faida itakuw ndogo mno.