buyoya419
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 618
- 498
Naombeni ushauri nataka kuacha kazi ya kuajiriwa maana naona wanazingua now nataka niingie kwenye biashara ya kuosha pikipiki na magari.
Jetwasher nzuri na original zinauzwaje iwe used au mpya
Ni sehemu gani nzuri za kukaa ili kufanya biashara hii
Je, ina mabaya gani au shida yake
Mtaji wake ni kiasi gani
Na vitu vingine ambavyo sijavitaja
Naombeni ushauri wenu.