Habari Wakuu, nimepata soko la kuuza sehemu ya ngombe huko China,sasa pakupata hii bidhaa napajua ila sijui kabisa nahitaji vibali gani na navipateje. Pia kuhusu usafirishaji nasikia kuna cold boxes kwenye ndege ambazo nitatumia ajili ya kutuma sample na mzigo ukikubalika nitatumia refrigerated container kwa meli. Naomba mwenye uelewa zaidi au anayewez za niunganisha na mtu mwenye uzoefu.