Ushauri Biashara ya kusafirisha Vyakula kama Ndizi, viazi, Mihogo n,k kutokea mikoani kuja DSM

Hiyo hela haitoshi mkuu ongeza ongeza angalau ifike mara3-4 ya hiyo ili umudu usafiri na kukusanya shehena ya maana.
 
Nina uzoefu nayo hiyo biashara. Unatakiwa kuwa na mtaji wa 3m kwa biashara ya ndizi au viazi. Hii ni kwa ajili ya kununulia mzigo, kuhusu nauli siyo lazima uwe nayo kwani unaweza ukalipa ukishauza mzigo wako dar
 
Inategemea mkuu, wewe unaongelea usafiri wa kwenda sokoni kutoka ulipokusanyia mzigo. Hizo gharama za kukusanyia/kutafta mzigo kulipa wabebaji/pakiaji lazima zihusike ikiwa mzigo utakuwa scattered.
Ila kiujumla biashara hii ipo poa sana hasara zipo kasi ila huwa covered ndani ya mzunguko issue ni kuwa na mtaji wa ziada tu!
 
Vp mkuu kama tukiungana watu wawili au watatu tukachukua mzigo kwa pamoj nayo si itafaa tu?

Ni wazo zuri ila sometimes mnaweza kutofautiana preferences, mwingine anaweza kuchukua mali kuoza akajikuta anamsubiri mwenzie ambaye hajakamilisha mzigo na hatimae kuambulia hasara. Hii habari ya kuvizia usafiri wa kushare sio nzuri kwenye biashara otherwise kuwe na makubaliano maalum ya kuchukua mzigo wa kufanana na uwe sehemu moja.
 
Nina uzoefu nayo hiyo biashara. Unatakiwa kuwa na mtaji wa 3m kwa biashara ya ndizi au viazi. Hii ni kwa ajili ya kununulia mzigo, kuhusu nauli siyo lazima uwe nayo kwani unaweza ukalipa ukishauza mzigo wako dar

Hiyo hela haitoshi mkuu ongeza ongeza angalau ifike mara3-4 ya hiyo ili umudu usafiri na kukusanya shehena ya maana.

.
 
Wakuu naombeni mnikutanishe na mzoefu yeyote aliebobea kwenye hii ishu nataka nipate idea mbili tatu kuhusu hii business najihisi kutamani kuifanya ila sina uzoefu saaana (ingawa kipindi flani niliwahi kufanya biashara ya viazi kwa magunia sokoni) nahitji kukutana physically na wazoefu

Nipo Dar na namba zangu ni 0769977222,.. nitashukuru sana kama mtanifanikishia hii!

Kijana usiende pupa utapigwa huto tu m kako.
 
Habari wana jamii? Binafsi nimewai fikiria fanya hii bishara kutokana na kutokuwa na information nyingi na mambo mengi kipindi cha nyuma nilishindwa kufanya, naombeni mrejesho kwa wale ambao mmewaifanya, vipi kuhusu swala la masoko huku Dar? Changamoto zake zipoje? Na vipi kuhusu faida na hasara ipoje? Naombeni mrejesho wanajamvi.
 
Wee komaa wala ucsikilize watu wanasema nini kama imedhamiria jicomit fanya reseach kutana na wazoefu..fanya reseach ya markert..madalaali unacheza nao vip..fuatlia u will succed hata hyo m1 ukianzia na ndz cyo mbaya inawezkana tena unachkulia moshi..mwika kule..its posible me kuna biashara moja nina uzoefu nayo nikawa cnaga mtj nikamweleza boss mmj yupo vizuri kifinancialy..akaniambia nimwandaliie report kutkana na hyo biashara faida yake hasara zake risk evrythng nikapreparae akaisoma na akanikubli na akaniambia nitashare naye hyo biashara i min tuwe wote for real nika accept coz yeye alikuwa ndo mwenye ela me nikamkublia awe director then mim niwe asistance..bhac ikawa ishue iliyobaki ni kandaa leseni ya biashara so ili iwe rahic kuchkuwa product za kampuni then ndo tufanye kazi..tupo kwenye process ya ltin pmj na leseni badae tukapnga meetng cku hyo napga cmu hapokei tena ..kesho yake kimya duu bhac nikaachana naye..nikakaa chini kutafkazi hili jambo nikasema hata mimi naweza amtegemeae binadamu amelaniwa bible inasema hivyo na cyo maneno yangu..bhac nikasema kwa kweli huyu boss amenifungua akili nashkuru mungu nisngekutana na huyu boss nisingekuwa na biashara yangu peke yangu yeye ndo source yakunifanya nijione hata mimi naweza yaani leo hii nikimuonyesha kitu nilichokuwa natarajia kushare naye aamin ansema kwa kweli wewe ni hatari tuwe tunajifunza kwa kweli maisha ni kujiamini kuna watu kazi yao nikumkatsha mtu tamaa yeye anaona hiki kitu no i cant du it so ngoja nimfanyie hiv mawazo ya kimaskini hao
 
Shukrani sana mkuu umenipa kitu cha kujifunza na ww nikupe Big Up kwa kutokata tamaa kufanya kile unachokiamini.
 
Weka waz mkuu biashara gan
 
Back
Top Bottom