USHAURI:!! Biashara ya kuuza na kununua nyumba, mashamba etc

USHAURI:!! Biashara ya kuuza na kununua nyumba, mashamba etc

Nimegundua watanzania ni waoga sana wa ushindani. Sasa kusema kuna locopromo tayari ndio uoga huo.

Ndio maana tunawaogopa wakenya na waganda sishangai.

Cha muhimu ni kujua namna gani ya kukabiliana na washindani wako dunia hii husitegemee ufanye biashara ya kivyako bila kuwa na washindani.

Hivyo hacheni kukata tamaa na uoga kuogopa. Mkiogopa hamtopiga hatua
 
Nimegundua watanzania ni waoga sana wa ushindani. Sasa kusema kuna locopromo tayari ndio uoga huo.

Ndio maana tunawaogopa wakenya na waganda sishangai.

Cha muhimu ni kujua namna gani ya kukabiliana na washindani wako dunia hii husitegemee ufanye biashara ya kivyako bila kuwa na washindani.

Hivyo hacheni kukata tamaa na uoga kuogopa. Mkiogopa hamtopiga hatua

Mkuu umeshtukia enhee..Lakini angekua muhindi anataka kufanya haya mambo wangeanza shobo. Wakati hata sisi wazawa tunauwezo kufanya haya mambo.
 
Ninauza shamba la hekari 15 maeneo ya mkulanga tena shamba UNAWEZA KUCHIMBA VISIMA vya maji kama utataka kufanya kilimo cha umwagiliaji&tena mwaka huu 2014 nimeweza kulima mahindi ,mihogo, pamoja na mboga ndogondogo .SHAMBA LIPO MKURANGA BAADA YA MBAGALA ..TUWASILIANE KAMA MTU YUKO SERIOUS BEI ni 300millions &tunaweza kuobgea pia ...PM ME FOR MORE INFO..
 
Hapana mkuu sipo kwenye Real Estate am just Jack of All Trades but Master of Non.., na huwa napenda kujua kila biashara inafanyaje kazi na opportunity ipo vipi na faida ikoje ili nione kama naweza kuingia au nina uwezo wa kuifanya..

Yes kwa kutengeneza website ili upate traffic, yes you can do it na wala initial cost sio nyingi kabisa ni pesa ndogo sana na website hosting ni cheap sana.., ugumu ni ku-market na ku-promote site yako ambayo it takes time.., na hakikisha website yako inakuwa sticky.., mtu akija aweze kuja tena na tena (kwahio post vitu mara kwa mara na viwe updated) pia toa information tofauti tofauti kuhusu real estate n.k. ili watu wapende kuja na wale wanaotumia search engines kama kuna information zenye keywords kuhusu mambo ya nyumba basi hao watu wataletwa kwako.


Kuhusu mtandao wa watu wanaouza properties zao, unaweza kuwapata sababu hao hao utakaowatafuta ili watangaze kwako ndio hao hao ambao ungeweza kuingia nao deals ili uwauzie.., ni rahisi kama ukiwa na ofisi na ukaanza kwa kupatana na madalali waaminifu offline ili ufanye nao kazi.., kwa kuanzia hata ukiwa na nyumba tano tu zenye bei nzuri ambazo hazina utapeli.., baada ya hapo watu wakishajua sehemu ulipo watakufata..

Kumbuka hii biashara imegubikwa na utapeli na watu kutokuwa waaminifu, sasa wewe ukiwapa watu peace of mind na ukawa unawasaidia hata kwenye mikataba na wewe kuwa shahidi na mediator baina yao na ukiwa officially watu wote watakuja kwako hata kama ni gharama sababu watakuwa wanajua wanachokipata ni cha ukweli.., na wala wewe huitaji kuwa ofisini unaweza ukamweka mdada mmoja tu pale kazi yake ni kupokea simu na kucheza karata wakati anasubiri wateja, wateja wakija anakuita unawapa appointment alafu hapo ndio unatuma mtu wako mwenye busara kwenda ku-close the deal.., ofisini kwako kunakuwa na matangazo ya hizo nyumba / mashamba plus full details

Kula like mkuu..
 
Back
Top Bottom