USHAURI:!! Biashara ya kuuza na kununua nyumba, mashamba etc

Nimegundua watanzania ni waoga sana wa ushindani. Sasa kusema kuna locopromo tayari ndio uoga huo.

Ndio maana tunawaogopa wakenya na waganda sishangai.

Cha muhimu ni kujua namna gani ya kukabiliana na washindani wako dunia hii husitegemee ufanye biashara ya kivyako bila kuwa na washindani.

Hivyo hacheni kukata tamaa na uoga kuogopa. Mkiogopa hamtopiga hatua
 

Mkuu umeshtukia enhee..Lakini angekua muhindi anataka kufanya haya mambo wangeanza shobo. Wakati hata sisi wazawa tunauwezo kufanya haya mambo.
 
Ninauza shamba la hekari 15 maeneo ya mkulanga tena shamba UNAWEZA KUCHIMBA VISIMA vya maji kama utataka kufanya kilimo cha umwagiliaji&tena mwaka huu 2014 nimeweza kulima mahindi ,mihogo, pamoja na mboga ndogondogo .SHAMBA LIPO MKURANGA BAADA YA MBAGALA ..TUWASILIANE KAMA MTU YUKO SERIOUS BEI ni 300millions &tunaweza kuobgea pia ...PM ME FOR MORE INFO..
 

Kula like mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…