We unataka kumalizia kila kitu mtandaoni? acha uzamani katika dunia hii ya uwazi. Kamata nauli na uwe na bajeti yako kama milioni mbili za kibongo maana kule maisha ni ghali kuliko huko Bongo. Kafanye tafiti menyewe na huko Mozambique wanako ogopa ndio pakwenda haswaa. Mi mwenywe nikisikia sehemu watu wanogopa ndio najua wamezikimbia Fursa. Hakuna mtu anefanya hicho kitu atakufungukia mpaka mwisho, we usitake mambo kirahisi, maana ya ujasirimali ni kijilipua so jilipue, Mwisho utauliza kama kuna mwenye ndugu huko akupokee..... Kiswahili ni mtaji wa kwanza kama hujui ngeli usijali Baswahili bako bengi ku ile ngapo.