Ushauri: Biashara ya saluni ya kike kwa nchi ya Zambia na Mozambique

Ushauri: Biashara ya saluni ya kike kwa nchi ya Zambia na Mozambique

Joined
Jan 23, 2018
Posts
11
Reaction score
0
Jamani wana jamii nini nahitaji kufanya biashara ya saluni ya kike (kutengeneza kucha+kupaka rangi + pamoja na kuweza kope za bandia) lakinini abroad nchi mbili hizi za Zambia[/USER] +Mozambique.

Nilihitaji kwenda yeyote mwenye uzoefu za maeneo hayo au kazi hiyo anisaidie maana vijana tunatakiwa kuamka na kuchapa kazi.
 
Nenda zambia!mozambique ni kuzuri kibiashara sana lakin hali sio shwari kwa watanzania au waamiaji!
 
We unataka kumalizia kila kitu mtandaoni? acha uzamani katika dunia hii ya uwazi. Kamata nauli na uwe na bajeti yako kama milioni mbili za kibongo maana kule maisha ni ghali kuliko huko Bongo. Kafanye tafiti menyewe na huko Mozambique wanako ogopa ndio pakwenda haswaa. Mi mwenywe nikisikia sehemu watu wanogopa ndio najua wamezikimbia Fursa. Hakuna mtu anefanya hicho kitu atakufungukia mpaka mwisho, we usitake mambo kirahisi, maana ya ujasirimali ni kijilipua so jilipue, Mwisho utauliza kama kuna mwenye ndugu huko akupokee..... Kiswahili ni mtaji wa kwanza kama hujui ngeli usijali Baswahili bako bengi ku ile ngapo.
 
Jamani wana jamii nini nahitaji kufanya biashara ya saluni ya kike (kutengeneza kucha+kupaka rangi + pamoja na kuweza kope za bandia) lakinini abroad nchi mbili hizi za Zambia[/USER] +Mozambique.

Nilihitaji kwenda yeyote mwenye uzoefu za maeneo hayo au kazi hiyo anisaidie maana vijana tunatakiwa kuamka na kuchapa kazi.
Nilikutana na wamasai wanapiga kazi za kusuka si mchezo.
Wanakaa zile siku 90 zikiisha wanarudi nyumbani Bongo wanasalimia then anarudi
 
Back
Top Bottom