Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jamvi namshauri ndugu zitto agombee nafasi ya uspika wa bunge maalum la katiba ili ajipime kama ana ushawishi wa kugombea urais mwakani kama alivyo tia nia katika majukwaa,lakini pia atakua anajiongezea credit kwa ajiri ya mwakani
Agombee kupitia kundi lipi?
1. Walemavu
2. Dini
3. Watu wenye mlengo unaoshabihiana
4. Chama cha ACT
Naomba ufafanuzi.
Agombee kupitia kundi lipi?
1. Walemavu
2. Dini
3. Watu wenye mlengo unaoshabihiana
4. Chama cha ACT
Naomba ufafanuzi.
Hana Degree ya sheria ,hivyo hana sifa, labda atumie "matunguli" na kuwa spika wa ACT- Newzealand o TZ
Si mbaya mkamuweka ili aone jinsi alivyoisha..tena ktk macho yake atashughudia Wana CCM wakimwita msaliti kwa uwazi na wingi wao.Wana jamvi namshauri ndugu zitto agombee nafasi ya uspika wa bunge maalum la katiba ili ajipime kama ana ushawishi wa kugombea urais mwakani kama alivyo tia nia katika majukwaa,lakini pia atakua anajiongezea credit kwa ajiri ya mwakani
Hana Degree ya sheria ,hivyo hana sifa, labda atumie "matunguli" na kuwa spika wa ACT- Newzealand o TZ
Ingawa niko CCM na nimekunywa maji ya bendera yake, lakini nakiri kusema Zitto akigombea urais hata kwa tiketi ya chama gani nitampa kura yangu.
Sipendi ushabiki, napenda uwezo wa mtu, ingawa ana mapungufu kama tulivyo binadamu wengine, lakini zitto ni kiongozi hodari.
Agombee kupitia kundi lipi?
1. Walemavu
2. Dini
3. Watu wenye mlengo unaoshabihiana
4. Chama cha ACT
Naomba ufafanuzi.
Agombee kupitia kundi lipi?
1. Walemavu
2. Dini
3. Watu wenye mlengo unaoshabihiana
4. Chama cha ACT
Naomba ufafanuzi.
huyo msaliti kwisha habari yake!!!! nani ampe kura yake,labda mwigulu!