Ushauri binafsi - Zitto Kabwe gombea Uspika wa Bunge Maalamu la Katiba

Ushauri binafsi - Zitto Kabwe gombea Uspika wa Bunge Maalamu la Katiba

mpe yale yako uliyopewa na bibi.yako unayotumia kuwaroga wafanyakazi wenzako hapo ofisini ili upandishwe cheo.. wewe ni pepo
Umekosea njia bwana mdogo, Pole, Mwambie aende ujiji kuna degree za sheria ya usaliti...
 
Hayo maulizo yako angelikuwa Chadema naamini usingeliyauliza hata kama ungelikuwa usingizini.

Punguzeni kejeli na riyaa.
Kwanini jina tu mara mulisikiapo mkoswe na amani na badali yake vitwa venu kushikwa na ubaridi kama si mgando wa akili kimawazo..?!!

dogo anawaumiza vichwa sana maadui zake na wapambe wao. ndo maana hadi sasa amekuwa mada kuu zaidi hata ya taasisi na viongoz wake
 
yani mapgano ya katiba mpya yaongozwe na msaliti!!!!??? traitor how come!!
 
Hana Degree ya sheria ,hivyo hana sifa, labda atumie "matunguli" na kuwa spika wa ACT- Newzealand o TZ

Umekaririshwa kiasi cha kuamini kuwa Shahada ya pili ya Sheria (LLM) aliyonayo Zitto sio Degree! Zitto hahitaji kugombea U spika wa Bunge la Katiba kujua kama bado anakubalika, hata Spidi yenu ya kumuanzishia Thread kila kukicha japo yupo zake kimya ni ushahidi kuwa mnajua kuwa bado anakubalika. Mmewafukuza Kafulila, Mwigamba, Kitila mmewapotezea lakin kwa Zitto mnashindwa kumpotezea.
 
Umekosea njia bwana mdogo, Pole, Mwambie aende ujiji kuna degree za sheria ya usaliti...
POMPO kwani alipokuwa Bucerius Law School(MLB) alisoma nini?
 
Last edited by a moderator:
Ndani ya chadema hamuwezi kupiga hizo kelele mkiwa nje mnapayuka.
 
Wee mleta mada umechanganyikiwa negatively.
Utamshauri mtu aliyetusi mchakato wa kutengeneza kanuni kuwa wa kipuuzi,akizitumie kanuni hizohizo kuongozea bunge incase akishinda?
Zitto amejizimia nyota yake mwenyewe kwa ukaidi wake.
Tundu Lissu na John Mnyika ndio habari ya mjini sasa.
 
Niseme tu ukweli,kitendo zitto alichowafanyia watanzania haswa wanamageuzi waliokuwa nyuma yake,hatakaa apate nafasi yoyote ya kuchaguliwa na jamii.Ni pamoja na laana ya mungu!
 
yani mapgano ya katiba mpya yaongozwe na msaliti!!!!??? traitor how come!!

Nimeamini Zitto ni silaha zaidi ya zile muziitazo ati B52 kwenyu watotokelezi wa Chadema,

Maana huwa hamuishi kujilaumu kwa kumpoteza na huku mukijifanza ati mwampa yale muitayo ninyi makhanatha madongo.

Nishajaribu kupeleleza mazuri kwa mabaya alokutendeeni nakuta mazuri ni mangi mno na mabaya labda unielekeze weye kwa fursa hini uloipata hapa.
 
Back
Top Bottom