Ushauri: Blog ya ujasiliamali

Ushauri: Blog ya ujasiliamali

mr transcript

Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
56
Reaction score
7
habarin wakuu nimeamua kufungua blog kwa ajil ya kutoa taarifa mbalimbal za ujasiliamali sasa nilikuwa naomba mchango wenu vitu gan vya kuzingatia wakat wa ufunguz wa blog hyo na vp nitaweza ku attract watu ili wasome blog hyo kwa maana ni vipengele gan muhm niviweke ili kuweza kupata watu nitawapa feedback kutokana na ushauri wenu ahsanten
 
Back
Top Bottom