uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Hatujapendaa🤣🤣🤣Mbona ghafla
Kwani kama unavigezo zaidi ya kiongozi aliyeyopo madarakani hujakatwazwa kugombeaKuna haja ije sheria ya ukomo wa ubunge. Kama vipi ukomo iwe awamu mbili tu ambapo ukiongoza ya kwanza unakaa kwanza pembeni ndo unapata tena sifa ya kuja kutafuta nafasi ya kumalizia awamu ya pili. Watu wapo wengi wanataka kuongoza lakini kuna watu wameng'ang'ania majimbo kama ya kwao